▪ Serikali yawekeza zaidi ya Sh. bilioni 30 katika kadi na mashine za uzalishaji
▪ Asisitiza wananchi kupata vitambulisho bila usumbufu
▪ Vitambulisho vya awali vinaendelea kutumika
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua kitambulisho cha Taifa...