kitambulisho cha nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kikatiba, kutokuwa na kitambulisho cha NIDA kunaniondolea utanzania wangu?

    Hili jambo lilianza kama dogo vile, lakini siku zinavyoenda, jambo hili linachukua sura mpya zaidi, Tunaambiwa kuwa, bila kitambulisho cha NIDA 1. Hauwezi funga Ndoa. 2. Mikopo hupati katika taasisi za fedha. 3. Hauwezi kusafiri nje ya nchi. 4. Hauwezi kununua bidhaa super market kupitia...
  2. Kituko Cha ajabu duniani: Kitambulisho Cha NIDA kua na picha ya mtu ambaye sio mwenye kitambulisho

    Katika maisha yangu yote na uzee huu sijawahi kitu Cha ajabu na Cha kpmbvu kama hiki Sasa tunaosafiri huko duniani nchi zingine unaambiwa Lete your national identification card unatoa anaona lipicha la mtu ambaye sio anayemuangalia mbele yake.. Hii ni akili ama matope jamani watanzania...
  3. Mkurugenzi Mkuu NIDA, Kaji: Tumeshaongea na viongozi wetu wa dini, hata ndoa—huna NIDA, hakuna ndoa

    Kitambulisho cha Taifa cha NIDA kinatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya taratibu za kufunga ndoa nchini, ikiwa ni hatua ya kuhakikisha wahusika wanatambulika rasmi na kuzuia wageni kujifanya Watanzania kupitia ndoa ili kupata utambulisho wa uraia. Akizungumza katika uzinduzi wa kitambulisho kipya...
  4. M

    KERO Nilijiandikisha NIDA tangu mwaka 2019 lakini Kitambulisho (ID) changu hakijatoka mpaka leo

    ‎Wadau naomba kuuliza swali, hivi kitambulisho Cha NIDA kinachukua muda gani mpaka kutoka maana tangu 2019 nilipojiandikisha nimefuatilia kukipata naambiwa niendelee kusubiri hakijatoka ‎Soma pia Nilijiandikisha NIDA Ifakara mwaka 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho, nimezungushwa hadi...
  5. HOJA Kwanini kitambulisho cha mpiga kura kinatoka ndani ya siku moja, cha NIDA kinakaa miezi?

    Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha, Na Cha kusikitikisha Kitambulisho Cha Taifa Kina Mlolongo Mrefu Mpaka kutoka Ila kikianza kutumika...
  6. Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  7. Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge nchini wasajili wageni wote kwa kutumia kitambulisho cha NIDA

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ameagiza wamiliki wa nyumba zote zinazotoa malazi kwa wananchi kuhakikisha zinasajili wageni wote wanapata huduma kwa kutumia kitambulisho cha NIDA, vinginevyo watachukuliwa hatua. Katambi amesema 'Nitumie fursa hii, wamiliki wa hoteli...
  8. Mchakato wa kitambulisho Cha NIDA ukoje?

    Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
  9. Sijapenda tabia ya Serikali kukagua kitambulisho cha NIDA kila unapovuka nje ya mkoa wako

    Hii tabia ilyoibuka hivi sasa ni ya ajabu sana kila napovuka mkoa mmoja kwenda mwingine wabakakugua kitambulisho cha NIDA nakuniuliza naenda wapi, hii tabia haikuwepo kwasasa naona mambo yamebadilika labda nisababu ya maandamano ya D9 yamechangia kuwepo kwa ukaguzi huo. Serikali toeni haki kwa...
  10. GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

    Nimeshangaa sana Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu. Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣 Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha? Nchi yetu imeshanajisiwa.. Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa...
  11. KITAMBULISHO CHA NIDA

    Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
  12. Kitambulisho cha NIDA

    Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani...
  13. Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  14. Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
  15. Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

    Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
  16. Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  17. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  18. Je, kitambulisho cha taifa na cheti cha kuzaliwa havitoshi mpaka tena uwe na barua kutoka serikali za mitaa?

    Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini? Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana...
  19. DOKEZO Utaratibu wa kupata Kitambulisho cha Taifa(NIDA) ni mgumu mno, Serikali iingilie kati

    Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na zoezi lilifanikiwa kwa zaidi za asilimia 70,kwani watanzania wengi walijiandikisha na kuweza kupata...
  20. Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…