kitaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nguruwe wako hawakui? Sababu inaweza kuwa kwenye lishe! Fahamu suluhisho la kitaalamu

    NGURUWE WAKO WAMEDUMAA? HUU NDIO MUDA WA KUBADILI MATOKEO! Tumia MAX PIG SUPER MEAT โ€“ virutubisho asilia vyenye madini, vitamini na probiotics vinavyosaidia kuboresha ukuaji, afya na ufanyaji kazi wa mwili wa nguruwe. Dozi: 1Kg kwa kilo 500 za chakula. Bei: 30,000/= Tsh kwa 1Kg. Nunua MAX...
  2. H

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu. Serikali itakapoanza kupokea miradi mipya, maandalizi ya barabara hizi yawe yamekamilika. Kipaumbele chetu ni barabara zinazofungua maeneo ya uzalishaji. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ...
  3. Inachokifanya TEC Kitaalamu kinaitwa Moral Licensing

    โœ๏ธMoral Licensing maana yake ni kujipa uhalali wa kimaadili. Au wengine huita โ€œImage Launderingโ€, kwa kiswahili ikiwa na maana ya Kufanya matendo ya hisani au shughuli zinazoonekana nzuri ili kufunika makosa na kurejesha sifa mbele ya jamii. Hiki ndio wanachokifanya TEC. Hakuna asiyejua...
  4. Kwa Nini Video Zako za AI Hazionekani za Kitaalamu? Makosa 5 Unayopaswa Kuepuka Unapotumia Gemini AI Pro

    Unaweza kuwa na zana bora ya AI, lakini bado ukatengeneza video zisizovutia. Tatizo si lazima liwe teknolojia unayotumia, bali namna unavyoielekeza. Gemini AI Pro inaweza kukusaidia katika ubunifu wa maudhui ya video, lakini kupata matokeo bora kunahitaji maelekezo sahihi. Haya ni makosa matano...
  5. Hivi tatizo la mtu kupenda kula vitu vilivyooza yaani kula MIZOGA kitaalamu linaitwaje?

    Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo. Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
  6. Hii kitaalamu inaitwaje?

    Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ? Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind Hii inasababishwa na...
  7. Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

    Ana mwaka 1 na mwezi 1 ana meno 16!! Je hii ni kawaida ?
  8. B

    Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  9. Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

    Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa? Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi? Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle? Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma? Iko...
  10. Acha kuandika Business Plan (Mpango wa Biashara) kwa kukisia! Jipatie Templates za Kitaalamu za Biashara Yoyote.

    Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji? Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha. 1. Business Plan...
  11. ๐Ÿ”ฅUNAHITAJI WEB HOSTING YENYE KASI NA KWA GHARAMA NAFUU? TSH 45,000 TU KWA MWAKA๐Ÿ”ฅ

    ๐Ÿ”ฅPata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)๐Ÿ”ฅ Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10 Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
  12. Kwa Nini Wanaume Hufa Mapema Kuliko Wanawake: Uchambuzi wa Kina wa Kitaalamu

    Kwa mujibu wa tafiti za afya ya umma duniani, wanaume wana wastani wa maisha mafupi kuliko wanawake, jambo lililothibitishwa na World Health Organization. Tofauti hii si ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya mwingiliano wa mifumo ya mwili (biological systems), tabia za binadamu (behavioral...
  13. TTCL inaendeshwa kisiasa au kitaalamu? Kwanini wanazima intaneti Jumapili mpaka Jumatatu?

    Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ? Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe...
  14. Kitaalamu hii inaitwaje?

    Week end njema .๐Ÿคฏ๐Ÿคฏ๐Ÿคฏ๐Ÿคฏ๐Ÿคฏ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
  15. Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni ๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—›๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ ๐—Ÿ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ (๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—–๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ๐˜€) โ€” kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa. Simu: 0753786858 Email...
  16. Huduma za kutengeneza website kwa uharaka โ€“ siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. โœ… Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu โœ… Inafaa kwa biashara ndogo...
  17. R

    Kitaalamu, chura aweza tumia macho ya tai?

    Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni ๐Ÿ™
  18. Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?

    Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu? Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu? ๐Ÿ โœจ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu โœ” Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles โœ” Kudhibiti na kuondoa wadudu โœ”...
  19. Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?

    Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu? Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu? ๐Ÿ โœจ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu โœ” Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles โœ” Kudhibiti na kuondoa wadudu โœ”...
  20. Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?

    Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu? Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu? ๐Ÿ โœจ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu โœ” Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles โœ” Kudhibiti na kuondoa wadudu โœ”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ