kiswahili

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamshi. Charan Singh - Cherehani

    (1) Cherehan - Charan Singh. Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani. (2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi. (3) Ndafu - Mzungu...
  2. JamiiForums Tanzania Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kipi Kiswahili fasaha, kwa majina au kwa jina?

    Wadau kuna maneno yanatatiza , Ukifuatilia vyombo vya habari siku hizi kwenye mahojiano, au popote pale kwenye maisha ya kila siku, pindi mtu anapopewa fursa ajitambulishe utasikia anaanza kusema kwamajina naitwa fulani bin fulani, Swali langu kwa wajuvi ipi sahihi kati ya KWAMAJINA AU KWAJINA...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Lugha ya wanajeshi huko Congo ni Kiswahili na sio Lugha zao za asili?

    Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili Waasi wanatumia kiswahili Wa DR Congo wanatumia kiswahili Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili. Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa? Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa. Bado nahisi tuna shida mahali. Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

    Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭 Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu. Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni...
  9. JamiiForums Tanzania McGara B pigania platforms za Energy Summit, achana na events za Kiswahili!

    1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit). 2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si kizito, pambana platforms za kimataifa atatoboa.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

    Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana.. Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na Kujitambulisha kwa wenyeji ikiwamo Mwenyekiti wa KIJIJI, Balozi wa Nyumba Kumi ili ufahamike,, Sasa pitia...
  12. JamiiForums Tanzania Huduma ya utafsiri kutoka Kiswahili kwenda Kingereza/ Kingereza kwenda Kiswahili/ Top-Quality English to Swahili/ Swahili to English translation.

    Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo: ✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha. ✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
  13. JamiiForums Tanzania Tutie bidii kujifunza Kingereza, lakini tusikidharau Kiswahili chetu

    Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi. Japo kuna boda boda na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watanzainia tuilinde lugha yetu ya Kiswahili, Wakenya wanaiharibu sana!

    Habarini wadau, Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya. Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti. Mfano:- "But nyinyi wasani...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa wanaoingia sekondari shule za serikali mtaala ni wa Kiswahili kwa masomo yote

    Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu. Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa miaka sita, kuna mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka. Hivyo nilielezwa na mwalimu jana haya...
  16. JamiiForums Tanzania Softcopy kwa kiswahili

    Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na hivyo kuongeza ufahamu na ufanisi wa kusoma. Pia, mimi hutafsiri vitabu kwa lugha yoyote, kuhakikisha...
  17. JamiiForums Tanzania Gamondi anapenda mambo ya Kiswahili

    Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga. Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu. Namsihi master Gamond asipost tena mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  19. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Geography, History na Kiswahili nipo

    Kipindi Cha likizo hiki hasa kwa advance kujiandaa kuingia form 6 na kuingia form 5 mzazi au mlezi niite nikufundishie mwanao akiwa hapo hapo nyumbani kwa bei nafuu kabisa ,nipo Dar mbagala kwa wakazi wa kijichi,mbagala kuu, mgeninani,vikunai pote nafika. Nichek 0749442229 au WhatsApp 0744983130
  20. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…