kiswahili

  1. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  2. JamiiForums Tanzania Wanafamilia wale ambao huwa Mnafiwa tafadhali mkiwa mnahojiwa acheni kuchanganya Kiingereza na Kiswahili kwani Mnaboa japo mnadhani ni Sifa

    Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo mnaimudu zaidi na ingeweza kuwafanya mkaeleweka vyema na Waombolezaji kuliko hicho Kiingereza ambacho...
  3. JamiiForums Tanzania Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    "Solid" ni nini kwa kiingereza?
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Kamusi ya TUKI na BAKITA, nichukue ipi kwaajili ya kuwa konki kwenye Kiswahili?

    Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha. Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa kamusi, nichukue ipi kati ya TUKI na BAKITA na kwa mwenye uzoefu, uniambie ni yupi mwenye chapisho jipya...
  6. JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

    Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena Sebule- wanasema seble Muziki- wansema mziki Muda- wansema mda!
  7. JamiiForums Tanzania Poleni sana Familia ya Qorro, Wasomi na Walumbi wa Kiswahili kwa kumpoteza Profesa Martha Qorro

    Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita. Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale Mliokuwa mkitaka kujua Tafsida ya neno Kujamba / kwa Kiswahili Fasaha hili hapa

    Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
  9. JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwanafunzi mjapani UDSM akiongea kiswahili

    Mjapani Fumiyo Jin mwenye shauku ya kujifunza Kiswahili ili aweze kukalimani Kijapani-Kiswahili
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania AI inazidi kuwa bora. Hizi ni baadhi ya nyimbo za kiswahili zilizotengenezwa kwa AI

    Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe: Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kiswahili na english anahitajika Kagera

    WAdau kuna shule inatafuta mwl wa English na Kiswahili kwa level ya Secondary [F1 -F4]hapa mkoani Kagera, ila inalipa laki 3 pekee Kama unataka nicheki inbob nikuunganishe faster
  15. JamiiForums Tanzania Mashariki ya kongo au upande wa uliopo wanaongea kiswahili ni kama umekosa kuungwa mkono na kuchekewa na watu wanaosema ni afrika mashariki

    Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo. Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe. Kwa nini wasomi...
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  19. JamiiForums Tanzania Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi wakihubiri kwa kuchanganya Kiswahili na Kingereza ndio neno linaingia zaidi?

    Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…