kiswahili

  1. JamiiForums Tanzania Hii inawahusu vijana wote wa kiswahili

    1. Usimpigie mtu simu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokel'ewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta. 2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania UDSM kuanza kutoa mitihani ya kimataifa ya Kiswahili ili kuikuza lugha hiyo duniani

    Na Ezekiel Mtonyole, Dodoma. Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kinataraji kuanza kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuhakikisha lugha ya kiswahili inakuwa zaidi Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu tafsiri ya neno Maintenance kwa lugha za kiafrika

    Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or improve damaged condition; to mend; to remedy. [wiktionary] Maintenance Kwa Kiswahili: ukarafati...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali , bakita, tataki tuamke huu ni wakati wetu sasa

    SERIKALI, BAKITA, TATAKI TUAMKE SASA KUMEKUCHA Hujambo mpenzi ndugu msomaji wangu karibu katika makala Nyingine, yenye lengo lakutupa mzinduko. Lugha ya Kiswahili kwa kwa nchi za upwa Wa Afrika mashariki ni bidhaa ambayo kama itatumika vizuri inaweza kubadili kabisa maendeleo ya kiuchumi na...
  7. JamiiForums Tanzania Msanii wa Kichina Akiimba Kiswahili Kwenye Bongo Star Search

    Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata baadhi ya watu kuvutiwa na tamaduni au lugha hizo za kigeni na hatimaye kujifunza na hadi kuimba...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili: An African pride under siege

    OPINION By Mweha Msemo | Apr 13, 2018 Tanzania is a unique country in sub-Saharan Africa in having a single, widely used and accepted African national language that connects its entire population. Kiswahili - a language estimated to have at least 100 million speakers across the continent is...
  9. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Lugha ya Kiswahili: Hatimaye Mwakyembe ala matapishi yake

    Miaka ya nyuma kidogo wakati wa Kugombea ubunge wa Africa Mashariki ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mh Mwakyembe alitoa hoja kwa Spika Anna Makinda kwamba wagombea watumie lugha ya kiingereza kuomba kura ili kupima uwezo wao wa lugha wasije wakaifedhehesha nchi kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Methali zipi za Kiswahili zimekusaidia kati ya hizi 610?

    1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende. 7. Adui wa mtu ni mtu. 8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna. 9. Ahadi ni deni. 10. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. 11...
  11. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

    Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

    1. Mc Lyte, 1991 My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself. 2. Nas na Damian Marley, 2010 Nas and I can speak rap star Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani? Damian Marley: Nzuri sana 3. Michael Jackson, 1987...
  13. JamiiForums Tanzania Tujifunze Kiingereza na Kiswahili hapa

    A - a -a prep. of. -a baridi adj. cold. abiria n. passenger. -abudu v. worship; adore. -a bure adj. free. -acha v. cease; allow; leave; let go; abandon. -achana v. leave each other. -achia v. leave to / for. ada n. fee. adabu n. good manners. adhabu n. punishment; penalty...
  14. JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Achari yalisha. The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.) Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo. It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…