kiswahili

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kiswahili sahihi ni osha mikono au nawa mikono? Naona kama tunakosea lugha

    Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno Oga. Kwa nguo tunatumia neno Fua. Wadau naomba mnitoe matongotongo kwa wale wajuvi wa lugha adhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  3. JamiiForums Tanzania Radio ya Idhaa ya Kiswahili ya France International kufunga ofisi zake Wiki ijayo. Ushoga na Shirika la TBC vyatajwa kuwa visababishi

    Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya. Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
  4. JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  5. JamiiForums Tanzania Kama wasomi wenyewe ndio hawa wasiojua Kiswahili fasaha na wanaandika kihuni ni heri waendelee kukosa ajira

    Kijana mhitimu wa Shahada, stashahada au astashahada hajui Kiswahili fasaha, cha ajabu wengine chuo kikuu wamesoma Shahada ya Elimu na Lugha. Ukipitia kurasa zao Facebook au instagram utaona wameandika hovyohovyo halafu utamsikia anamlaumu Magufuli. Unataka uwe mwalimu ukawafundishe upumbavu...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Je “Bongo Movie” zinamchango gani katika kukuza lugha ya Kiswahili na utamaduni?

    Chanzo: BBC
  7. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

    Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu. Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    Can anyone please help me with the translation of the word "ritual" into Swahili? I am thinking in the meaning of religious ritual. For example, priests in the Old Testament had to wash before offering sacrifices. This necessary act of washing would be called a' ritual'. Washing is also a...
  9. JamiiForums Tanzania Matumizi ya -to- au -ta- kwenye Kiswahili (mfano sitasahau/sitosahau)

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu, ninahitaji kujua matumizi hasa ya -to- na -ta- . Je ni sahihi kutumia maneno mfano "Kama hutojali" badala ya "Kama hutajali" au "Sitosahau" badala ya "Sitasahau", Kama ni sahihi, je yanatumika vipi na wakati gani?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kiswahili chapingwa kufundishwa mashuleni huko Namibia. Upinzani Nchini humo wagoma kutumia lugha hiyo

    Baadhi ya Wanamibia wanapinga lugha ya kiswahili kufundishwa mashuleni. Wanasema afadhali wafundishwe lugha za mama zao. Soma ======= WINDHOEK - The country’s official opposition, the Popular Democratic Movement (PDM), has joined the chorus of some Namibians in rejecting the mooted plans to...
  11. JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi abainisha uzembe matumizi ya Kiswahili Afrika Kusini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ilizembea kupata fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini na kusababisha fursa hiyo kuangukia kwenye nchi nyingine. Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kwanini sisi Tusiweze Kuwachabanga kwa Kiswahili chetu?

    Bunduki ni silaha nzuri sana. Toka igunduliwe, bunduki imewasaidia watu katika mambo mengi. Imewasaidia watu kwa kuwapatia kitoweo kama vile kwale – nakumbuka nilipokuwa mdogo, baba yangu alikuwa akinichukua porini kwenda kuwinda kwale. Bunduki pia imewasaidia watu katika kujilinda dhidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Shule za English medium kufanya vizuri somo la kiswahili kwenye mitihani ya darasa la saba kuliko shule za swahili medium nini maana yake?

    Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii inamaananisha nini? ==== Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kimarekani Wakiendesha Mdahalo wa Urais wa Tanzania kwa Kiswahili

    Wana JF, tazameni hiyo video muone jinsi wanafunzi wa Kimarekani wanaosomea lugha ya kiswahili huko Chuo Kikuu Cha Indiana (Bloomington Campus) wakiendesha mdahalo wa Wagombea Urais wa Tanzania kwa kuchambua hoja mbalimbali ambazo ni kipaumbele na changamoto zinazozikabili taifa. Wako mstari wa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Usiyoyafahamu kuhusu utoko (normal vaginal discharge)

    Wacha leo niseme juu ya hii kitu 1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa tu) mlivyoaminishwa kuwa ni uchafu si uchafu, unapotoka nje kwenye chupi hapo ni uchafu lakini ukiwa...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiswahili kufundishwa rasmi Uganda Januari

    SHULE zote za msingi nchini Uganda, Januari mwakani zitaanza kufundisha lugha ya Kiswahili na baadae kufanya mitihani kwa lugha hiyo. Hatua hiyo imeelezwa ni mkakati wa nchi hiyo, kutaka kujitanua katika Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kuona nchi nyingine wanachama wa jumuiya hiyo na nje ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaofahamu Kiswahili cha Congo

    Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara kumi kumi, lakini nimeshindwa kabisa kuelewa jamaa anaongea nini! Sasa kama kuna anayeelewa, please...
  18. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Tanga [kimtangata] na lahaja za kimwambao

    TANGA KWETU Ni ukweli usiopingika kuwa wazungumzaji wazuri wa lugha ya kiswahili ni watu wa pwani, jambo hili limechangiwa na sababu kadha wa kadha lakini kubwa ni sababu za kihistoria na maingiliano ya watu wa pwani na jamii za kale za waarabu waliofika na kufanya makazi katika ukanda huu miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

    Wakuu habari za weekend, Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya: 1. Watercress 2. Parsley .
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Matumizi ya Tarakilishi (Operating System) kwa Lugha ya Kiswahili

    Salamu kwenu wote. Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…