kiswahili

  1. JamiiForums Tanzania Namna wanahabari wanavyoharibu lugha ya Kiswahili

    Miaka ya hivi karibuni limeibuka wimbi kubwa la uharibifu wa lugha ya kiswahili (nchini Tanzania). Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha matumizi sahihi ya kiswahili ama kwa kujua au kwa kutokujua kama wanakosea. Kumeibuka dosari nyingi katika uandishi na utamkaji wa baadhi ya maneno ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wanastahili kujivunia kwa kutangazwa siku ya Kiswahili Duniani lakini juhudi za kukikuza zinahitajika zaidi

    Na Pili Mwinyi Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu

    Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu (a, e, i, o, u). Katika Lugha ya Kiswahili irabu ni moja ya vitu ambayo vinahitajika katika neno/maneno ya Kiswahili ili kuleta maana, hivyo hakuna neno la Kiswahili lenye maana pasipo kuwa na irabu Lakini kwenye lugha...
  4. JamiiForums Tanzania Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili

    Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
  7. JamiiForums Tanzania Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Unapopewa kazi ya kuandika Insha ya maneno 120 mambo gani unapaswa kuzingatia?

    Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi🙏
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiswahili, Historia yake na Wasemaji

    LUGHA YA KISWAHILI Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kiswahili in microsoft office application

    Habari wadau Hivi nifanye nini ili niweze kuandika kisahili vzr katika Microsoft Office application km ms word nakadhalika ukidownloadi Kiswahili languange pack na ukiiweka humo bado maneno mengi hayamo je kuna extension yoyote inaweza kusaidia katika hili Natanguliza shukrani za dhati...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama kweli uko makini na lugha ya Kiswashili basi anzia nyumbani - Tanzania ndio inaongoza kwa kuharibu lugha ya Kiswahili

    Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili. Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Imani, Miujiza na Upendo, hivi majini ya kiswahili yataelewa kiingereza?

    Wadau nipo najiuliza kwa sauti hili kongamano la kidini ambalo linatrend sana hivi sasa la Imani, Miujiza na Upendo (sina uhakika kama linaitwa hivyo lakini mmenielewa) limenifanya nijifikirishe kwamba mchungaji/ Mtumishi ni mzungu/wazungu. Je, kwenye hiyo miujiza ataweza kuyakimbiza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wamebobea kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Wabara mhh!!!

    Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana. Sasa nije kwenye mada yangu. Sisi Wazanzibari tupo vizuri sana tena sana katika lugha zetu mbili...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe alitaka kuhutubia Kiswahili! Baada ya Kiswahili kuwa Lugha ya Afrika, Rais Samia kukipaisha kuwa Lugha ya Dunia

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, Watanzania wataajirika nje ya mipaka kama wakifundishwa kwa Kiswahili tu?

    Nyanja: Haki za Binadamu Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mabadiliko ya sera ya elimu ya Feb 2015 yanalenga matumizi ya lugha ya taifa Kiswahili kuwa ndiyo lugha ya kufundishia kwy taasisi zote za elimu. Hii ni sahihi kabisa na nia...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia

    Nyanja: Utawala Bora/Haki za Binadamu. Imekuwa ni tabia kuwa chaguzi zinapowadia huwa serikali nyingi mahala pengi duniani zinafanya mabadiliko ya baadhi ya sera, mikakati na mipango yake ili kuakisi mahitaji ya kisiasa ya ushindi katika chaguzi mbalimbali hasa uchaguzi mkuu ambao ndiyo unaweka...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu anayezungumza kiswahili mwenye lahaja ya kiunguja

    Natafuta mzaliwa wa unguja anayezungumza kiswahili fasaha kwa ajili ya kurekod sauti analipwa vizuri ilimradi awe mzungumzaji mzuri mwenye uwezo wa kuongea dakika tano nonstop
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…