kiswahili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    ''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita. Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Natatizwa na BBC kuhusu Kiswahili

    Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia. Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...
  3. JamiiForums Tanzania Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
  5. N

    JamiiForums Tanzania Juu wanazidi kukipromoti kiswahili, huku chini walimu sasa wanapewa barua za vitisho za kuhakikisha kiingereza kinazungumzwa mashuleni; imekuwa shida!

    Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika. Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  7. JamiiForums Tanzania ITV: Ripoti Maalum-Mwandishi wenu ajifunze Kiswahili sanifu

    Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana. Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET. Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza...
  8. JamiiForums Tanzania Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

    Ebu tuyaweke maneno mblimbali humu tunayoyajuwa na yanatumika kwenye Kiswahili. Mfano Rais la kiarabu Shukrani tena kiarabu Tuendelee...
  9. JamiiForums Tanzania serikali ipige stop vyombo vya habari vya kimataifa vinavyorusha habari kwa Kiswahili

    Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kiswahili and English Teachers at Dar es Salaam Independent School (DIS)

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS) Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037 English and Kiswahili Teachers We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately. English and Kiswahili Teachers Requirements Experience of...
  11. JamiiForums Tanzania Usahili Utumishi zitumike lugha zote

    Habari Za Mchana, Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema. Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kiswahili chetu kinamshikeri mahali! Ikiwa Legacy haitetewi na kulindwa, maana yake pia haipondwi kwa hoja za kijinga!

    Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza...
  13. JamiiForums Tanzania Lugha 10 za Afrika zaongezwa Jukwaa la Google Translate

    Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133 Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
  14. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

    Habari za asubuhi wakuu, Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita. Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa. Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

    Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pato la Taifa ni GNP (Gross National Product) au GDP (Gross Domestic Product)?

    Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria 212 zatafsiriwa kwa Kiswahili, unadhani hii itasaidia wakati wa kesi hasa kwa Watanzania?

    Nimesoma hii habari kutoka Bungeni, kabla sijazungumza ninachotaka kuzungumza, isome kwanza wewe mwenyewe uone.... **** Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Sheria 212 kati ya sheria 466 zilizopo hapa nchini, zimetafsiriwa kutoka kwenye Lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha...
  18. JamiiForums Tanzania Original kwa KiSwahili

    Habari! 👋 Naomba kufahamu tafsiri ya Original kwa KiSwahili. Asante.
  19. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kenya kinafurahisha sana

  20. JamiiForums Tanzania Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…