kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  3. JamiiForums Tanzania Kiburi Kilichobomoa Ufalme wa Muziki wa EDM: Kisa cha Gabry Ponte na Kundi la Eiffel 65

    Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao maarufu "Blue (Da Ba Dee)", wimbo uliotikisa anga za kimataifa, ukapanda chati za muziki na kufungua...
  4. JamiiForums Tanzania Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

    Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3 Kweli Simba ni brand kubwa
  5. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni

    Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi, huku chanzo cha kifo hicho kikidaiwa ni wingi wa madeni. Mwanafunzi huyo wa mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  7. JamiiForums Tanzania Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa cha Generali Yoabu kumuua Generali Abneri bila ruhusa ya Mfalme Daudi ni kielelezo kuwa kuna Matukio hutokea Rais hahusishwi au hajulishwi

    Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

    Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali. Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchepuko kisa baby mama, baby mama naye kaniacha. Hali tete wakuu, hata msosi haupandi

    Wakuu napitia wakat mgumu sana,hapa nimejifungia ndani mawazo lukuki Mwez uliopita mchepuko niliodumu nao kwa karibu miez6 umeniacha sabab ya mimi kuendelea na mahusiano na baby mama wangu,naupenda sana mchepuko. Sio kesi nikarudisha majeshi kwa baby mama, Sasa baby mama sabab ya changamoto...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

    Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy. Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours it's just your turn hata Kama akikusaliti mpaka kukuzalia mtoto ambaye sio wako na ukajua usiue au...
  13. JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  14. JamiiForums Tanzania Young G’s Tambueni Game: Mitego Ni Mingi, Usijikute Unapotea Kisa Kiki au Dem!

    Hey guys, Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches: Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
  15. JamiiForums Tanzania Young G’s Tambueni Game: Mitego Ni Mingi, Usijikute Unapotea Kisa Kiki au Dem!

    Hey guys, Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches: Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Sikiliza kisa hiki cha Mtoto mchanga wa siku tatu Police wambeba kwa mahojiano inasemekana Kamtaja Samia..

    GT Maajabu hayajawahi kuisha.duniani hapo. Mchawi wa samia bado yupo hai. Inasemekana Mtoto aliyezaliwa tarehe 9 April 2025 ameongea na kumkanya Samia kuhusiana na mwenendo wa nchi kwa sasa.
  17. JamiiForums Tanzania Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mpenzi? Kuwa Serious kijana

    Sabato Njema! Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli? Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana...
  18. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kusimamishwa barabarani nusu saa kisa Stephen Wasira anapita

    Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
  19. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa: Amani ya Tanzania isitetereke kisa tamaa au Siasa

    Nabii Clear Malisa wa Kanisa la Kingdom Embassy ametoa onyo kwa watumishi wa Mungu, wanasiasa na Wakristo wote nchini kuhusu umuhimu wa kutunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa amani hiyo haipaswi kutetereka kwa sababu ya tamaa au siasa. Akizungumza wakati wa Sikukuu ya Pasaka, Nabii Malisa...
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…