Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ndiye aliyeagiza mtoto huyo afungwe, akieleza kuwa adhabu hiyo imekuwa ikitekelezwa Shuleni hapo na...