kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

    Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku Scam: Kisa cha utapeli mkubwa zaidi wa uwekezaji nchini Tanzania

    Mwaka 2018 hadi 2020, Tanzania ilishuhudia moja ya scam kubwa na werevu zaidi katika historia ya kifedha ya nchi. Mfanyabiashara kijana aitwaye Tariq Machibya, anayejulikana zaidi kwa jina la Mr Kuku, aliibuka na biashara iliyokuwa inaahidi utajiri wa haraka utajiri chap chap.... Alifungua...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi. Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
  4. JamiiForums Tanzania Kisa changu cha Sinza

    Sio mgeni wa jiji nipo hapa 10+ years shoot in and out . Kuanzia masomo mpaka kazi mpaka unemployed. I declare my interest Kama kuna mtu ana kibarua naomba. Turudi kwenye mada baada ya miaka kama miwili kutorudi mjini week hii nikaamua kuja kidogo kusuuza nafsi baada ya kumpiga kanji mahali ...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Kijiji cha Lyamrakana wilayani moshi vijijini, ajiua Kisa kubashiri (Betting)

    Mkazi wa Kijiji cha Lyamrakana wilayani moshi vijijini mkoani Kilimanjaro ajulikanaye kwa jina la Jonathan, amekutwa amefariki (amejiua) huku akiacha ujumbe wa kuwahasa na kuwaonya vijana kuhusiana na michezo ya betting, inasadikika kijana huyo alikuwa amebet kiasi cha shilling laki mbili...
  7. JamiiForums Tanzania Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

    Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  9. JamiiForums Tanzania DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

    Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) . Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa cha Lutu: Hivi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

    Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi? Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi. Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita...
  11. JamiiForums Tanzania Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

    Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure? Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi Kwanini tusinunue...
  12. JamiiForums Tanzania Achukuliwa nyumba kisa kumdhamini rafiki mkopo

    #HABARI Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina Gift Mtanda, amekumbwa na mkasa mkubwa baada ya nyumba yake kupigwa mnada kufuatia mkopo wa benki alioudhamini kwa rafiki wa familia. Inadaiwa kuwa nyumba hiyo iliwekwa dhamana benki ili kumsaidia rafiki huyo kupata mkopo...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

    Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya. https://x.com/i/status/2037994015094714505 My Take Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mvuta bangi

    Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanafunzi, Wazazi chungeni kulala na watoto

    Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana...
  17. JamiiForums Tanzania TBT: Waziri Aliyetumbuliwa Kisa kudaiwa kulewa Bungeni (Charles Kitwanga)

    Hii nchi tumepitia mengi sana aisee 😂 :::::::::::::::;;;;;;;;;:::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwanga umefuata kanuni za utumishi wa umma ambao unakataza...
  18. JamiiForums Tanzania Dickson Job nje zaidi ya miezi miwili kisa majeraha

    Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
  19. JamiiForums Tanzania LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…