kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

    Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine. Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa hiki kingekutokea ungefanya nini?

    Kuna rafiki yangu alikuwa kwenye chumba cha Hotel moja hivi hapa mjini DSM, Alimwambia muhudumu wa ile hotel na kumuomba kuwa amletee dada poa na anayejiuza aje kulala naye hawezi kulala mwenyewe pale. Baada ya dakika 30 Muhudumu alikuja na Mwanamke ambaye bila kujua kumbe alikuwa ni Mke wa...
  3. JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania Bibi yangu alipoenda Hospitali ya Amana Dar, alilazimishwa kuchanjwa

    Wadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI. Walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wife kaninunia kisa hiki

    Habari wakuu Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  11. JamiiForums Tanzania Kisa cha kutimuliwa Job Ndugai Uspika na utawala badala ya kutimuliwa na Wabunge

    Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen. Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja...
  14. JamiiForums Tanzania Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Desemba 27, 2021 jioni baada ya mume kurudi kutoka matembezi huku mkewe akitaka kujua kuhusu uhusiano wa mumewe na...
  15. JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

    Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. Kamanda wa Polisi...
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

    Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana. Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule. Yaani Halali au Haramu inategemeana imetendwa na nani. Mauaji ya watu kadhaa yamekuwa ni sehemu ya Utendaji wa watu flani...
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

    Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

    Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo. Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana...
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Habari wanajamvi! Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa. IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato katiba mpya ulioongozwa na mzee wetu WARIOBA. Katika ile tume,POLEPOLE alipewa ''airtime'' sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…