Kisa hiki kinapatikana kwenye kitabu Unyonge wa Mwafrika.
Chai ya Kandambili
Wakati mmoja nilipata kuwa Karani Mkuu wa Boma, wenyewe humwita Chief Clerk. Chief Clerk enzi za mkoloni mtu mkubwa sana. Ikafika sikukuu ya Malkia. Siku hiyo hualikwa machifu na watu wakubwa katika Wilaya nyumbani...