kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania U-kocha ni kazi ngumu, kisa kidogo...

    Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo. Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira. Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama mazoezi na kucheza siku moja moja. Siku moja ile timu nilokuwa napiga nayo mazoezi wakapata ki mechi...
  2. JamiiForums Tanzania Familia ya kiarabu na wakristo wameniambia niache kutembea na mtoto wao eti kisa nimi ni muislamu nikiendelea watanifunga jela

    Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
  3. JamiiForums Tanzania Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Ulevi, Matusi na Kujitenga ndio sababu Wananchi kumpigia Kura ya 'Hapana' Mgombea Uenyekiti

    Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji chao NYOROBI NANGI ni kutokuwa na ushirikiano na wananchi pamoja na tabia za ulevi na matusi...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  6. JamiiForums Tanzania Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

    Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  8. JamiiForums Tanzania Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  9. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  10. JamiiForums Tanzania Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kumshtaki Elon Musk baada ya mabaki ya satelaiti ya SpaceX kuanguka katika vijiji vya magharibi

    Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023. Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Madiwani wasusia Baraza kisa matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mtwara

    Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani. Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri hiyo, ambaye amewaengua baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti...
  14. JamiiForums Tanzania Mashabiki wamchana Davido kisa kupiga Marekani

    Davido, msanii maarufu wa Nigeria mwenye uraia pacha wa Marekani na Nigeria, amejikuta kikaangoni huko mitandaoni baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura nchini Marekani na ku-share furaha yake kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter (X) na Instagram. Akiandika "First Time Voter". Suala ambalo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

    Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la Lessons from the stories Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa macho ila jela sio nzuri na mwisho wa siku unapata aibu ww na familia yako Wivu umehusika hapa huyu...
  16. JamiiForums Tanzania Wife aliniamsha usiku wa manane ni mfuatie embe bichi kisa ana mimba

    Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya...
  17. JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mabao ya Yanga na Kisa cha asiyeridhishwa

    Ukweli usemwe tu, Hili bao Moja Moja la Yanga, limekuwa kero sana hivi Sasa huku mtaani. Waliopigwa bao wanabeza sana na kuona sasa mmeanza kukata pumzi. Utasikia bao lenyewe Moja, hawana kitu wale!! Kocha Gamondi vipi? Ulishazoesha watu mechi ni bao tano bila kukata pumzi huku wao wakiomba...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  20. JamiiForums Tanzania Zamani kusoma shule ilikuwa uwe na moyo wa kipekee sana. Pitia kisa hiki

    Bwana awe nanyi nyote. Hii story ya kweli itaangazia hasa maisha ya Kanda ya Ziwa especially sukuma tribe. Wakuu huu ni ukweli na nitaungwa na Kila aliyeishi Kanda ya Ziwa usukumani miaka hiyo kuanzia miaka ya 1980 hadi2005(2005 kurudi nyuma) Ili usome na kumaliza la Saba lazima uwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…