kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu apigana kisa waraka, pepo linamtafuna.

    Pepo kanisani. https://www.instagram.com/reel/DdzWfPLInes/?stkn=MXB0OHRtczVhMnZjMA==
  2. JamiiForums Tanzania Je, Makonda ndo Kaelekeza BASATA Wamfungie God? (Dudubaya kisa maneno yake kwenye Stage?

    Nathani BASATA hawapewi ruzuku na Serikali. Wanaishi kwa Jasho la Wasanii kwa kuwapiga faini kisha wanalipana Posho. Sababu za BASATA kupiga watu fani huwa hazieleweki. Wakikuona umepata hela, wanasubiri ukohoe. Godfrey Tumaini (Dudubaya) hatishwi na na kufungiwa. Alikaa bila nyimbo zake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imebadili ratiba ya mitihani kisa El-Nino. Vipi kuhusu wanafunzi wanatakiwa kwenda pre form one Mwezi huu wa tisa na wa kumi mwanzoni?

    Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
  4. JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha mwili wa mtoto Ayahna Keyes uliofichwa kwenye friji na mama yake

    Kisa hiki kilitokea Mnamo Juni 2014, ambapo wakazi wa Happy Home Apartment Complex huko Houston, Marekani, waligundua kuwa walikuwa hawajamuona mtoto Ayahna, mwenye umri wa miaka 9, kwa karibu miezi mitano. Mama yake, Amber Keyes, alikuwa akiwadanganya marafiki, majirani ,ndugu na hata baba wa...
  8. JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki kisha sema nani mwenye kosa na kwanini?

    Mimi na rafiki yangu mmoja tulienda sokoni wote na kila mmoja alikuwa na shughuli yake japo wote tuliambatana katika safari Tulipofika sokoni tuliamua kila mmoja wetu amsindikize mwenzake sehemu anapoenda Wakati tukiendelea na mizunguko yetu tulikutana na rafiki yetu mwingine anayeuza viatu...
  9. JamiiForums Tanzania Unakopa Kausha Damu ufanye 'Shughuli', ikishaisha unabaki na aibu. Akili ya wapi hii?

    Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia! Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima...
  10. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchangisha wanachama na wafuasi wa vyama kwenye Bakuli ni ama mtalazimika kufuata mashart ya mafisadi au wanaharakati kisa wametoa pesa

    Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom wamefungia laini yangu ya uwakala ikiwa na fedha kisa miamala batili ambayo siijui na sina elimu nayo

    Nimekuwa mhanga wa kufungiwa laini yangu ya uwakala kwa sababu ya kufanya miamala batili ambayo mimi sijui kama ni batili kwani tangu nipate laini hiyo sijawahi kupata semina au mafunzo yoyote juu ya miamala batili. Tukio hili limetokea mwaka huu mwezi wa 6 baada ya kupiga menu ya voda...
  12. JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
  14. JamiiForums Tanzania Kutana na Kijana Anaishi Kwenye Maji Muda Wote Kama Mamba, Kisa Kizima Hichi Hapa

    Katika kijiji cha Beldanga, kilichopo Wilaya ya Murshidabad nchini India, kuna kisa cha kusikitisha na kinachovuta hisia cha kijana mwenye umri wa miaka 16, Iqbal Sheikh. Kwa miaka mitano sasa, Iqbal anajikuta katika hali isiyo ya kawaida inayomfanya atumie siku kadhaa akikaa ndani ya mabwawa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi aingia kwenye historia ya vigogo waliotimuliwa CCM kisa kutofautiana na Rais, chama

    Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
  16. JamiiForums Tanzania Ni unyama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya House Girl, mtoto wake kukatwakatwa kwa mapanga na House Boy kisa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili . Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani Mh. Lisu hatahukumiwa kunyongwa, warejee kisa cha Babu Seya na kesi yake ya ubakaji

    Nadhani walio wengi mnakumbukumbu na aina ya kesi aliyohukumiwa nayo Babu Seya na familia yake Kesi ile haikuwa ya uhaini kama ya Tundu Lisu, lakini iliendeshwa kimezengwe mizengwe kama ya Tundu Lisu Ilivuta hisia za wengi kama hii ya Tundu Lisu, Ushahidi wa kesi ile uliohusisha watoto wadogo...
  18. JamiiForums Tanzania Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

    Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem. Tukio hili limetokea dar, kiwalani. vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  20. JamiiForums Tanzania Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

    Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula. Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…