Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa.
Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao.
Wanaiomba mamlaka...
Nimejikuta naisikiliza kwa kujirudia the all night and asubuhi hadi sasa, nikiwa natafakari meengi ambayo yamekua yanaendelea hapa kwetu.
Mungu akasimame na wale wote wanao pitia mambo magumu sio kwa kupenda kwao.
Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama.
Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU.
Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindikipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindikipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindikipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
| ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge.
Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
Anonymous
Thread
bunge
dhuluma
huwa
kipindi
maana
madereva
pesa
posho
shughuli
vitabu
wabunge
wapi
zao
Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia:
Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam.
Baraza la...
Habari wanajukwaa, tupeane moyo na uzoefu Kwa wale wote waliopitiaga kipindi kigumu waliweza vip kufanikiwa na kuvuka hapo.
Nimekata sana tamaa ya Maisha.
Ni muda mrefu Sasa sina shughuli maalum ya kufanya,nimefanya biashara ndogo ndogo lakini zimekuwa zikifa kutokana na ugumu wa biashara na...
Usimwache mtoto apoteze muda wa likizo bila kujifunza. Msaidie kufanya marudio ya masomo, kuongeza uelewa na kujiandaa kwa muhula mpya kupitia huduma zetu za HOME TUITION.
✅ Nursery & Kindergarten
✅ Primary School
✅ Secondary School
✅ Advanced Level
✅ English & Kiswahili
✅ Mathematics & Science...
Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume.
Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
Hakuna mtu mwenye stress kama maria Sarungi anatumia nguvu nyingi sana kufanya harakati lakini anagongo ukuta, Kila analolifanya anagonga ukuta hii ni dhahiri kwamba watu wanaakili kubwa sana ya ku-monitor saikolojia za watu.
👉🏼 Maria Sarungi ni think tank wa Upinzani nchini hvyo basi hakuna...
Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa.
Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo.
Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
Kwa yeyote mwenye mapenzi na documentaries kuhusu maisha ya wanyama au watalam wa mambo ya wildlife mnisaidie kwenye hili. Kuna channel maarufu inyoitwa NatGeoWildAfrica HD iliyoko king'amuzi cha Azam channel namba 184 inarusha masuala mengi kuhusu wanyama.
Point yangu kubwa ni kuhusu huyu...