kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Masoud Kipanya alitangazia dunia kuwa anaunda gari za umeme Mamlaka zinazohusika zilipata taarifa na zikaanza mchakato wa kufuatilia uundaji wake ikiwepo kupima ubora Ni zaidi ya miaka 2 imepita hakuna taarifa zozote zinazohusiana na maendeleo ya uundaji wa gari hizo na hakuna tamko lolote...
  2. Masoud Kipanya: Kama Wachina wanaenda hadi vijijini kulima Pilipili, Babu yako atalima nini?

    Mchora katuni na mtangazaji nguli Masoud Kipanya amesema kuwa mamlaka husika zinapaswa kuwalinda wananchi wa kawaida na wakulima wa vijijini dhidi ya wageni wanaomiliki mashamba makubwa badala ya kununua mazao toka kwa wazawa. Kwenye mahojiano kupitia 50 MILES katika episode iliyorushwa Novemba...
  3. R

    Itafsiri katuni hii ya Masoud Kipanya

    Nitatoa tafsiri yangu mwishoni
  4. M

    Kipanya ana maana gani hapa?

  5. Tutafakari sana kuhusu hiki anachokifikiria Masoud Kipanya

    MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi. Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini. Hii tabia ya kila...
  6. R

    Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

    Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
  7. Picha: Kipanya anajaribu kutuambia nini hapa?

  8. Tafakuri ya Kipanya leo

    TOA MAONI YAKO
  9. Masoud Kipanya, usirudi kwenye Media uchwara, tafadhali

    Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi, Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds, Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na...
  10. Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  11. Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  12. Padri Vincent Kasana: Hadi Leo Dioniz Kipanya Hayupo!? Je, Tumuombe Kama Mfu Au Mzima

    https://www.instagram.com/reel/DVeoMXsjKC4/?igsh=a3BlaXY5bmptdWZu
  13. T

    Kipanya na vibonzo..

  14. M

    baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  15. Fikra hadidu ya Masoud Kipanya

    Unasemaje?
  16. Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Wakuu, Yaani kwenye hii nchi kila mtu ATAFIKIWA kama sio leo ni kesho au mwaka kesho lakini udhalimu ukiwa unatokea alafu ukawa kimya na kuwa sehemu ya watawala kwa kukaa kimya, UTAFIKIWA TU. Hawa niliowataja hapo inaonekana wamefungiwa lakini hawataki kusema. Nasubiri kuona kesho kama...
  17. R

    Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
  18. A

    alitop kipanya cha kutengeneza juisi

    Vijana wa wa kwanza ni zawadi kutoka kwa Mungu ;Vijana wa pili ni matokeo ya juhudi zetu wenyewe.
  19. Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…