kioo

  1. Nauza Tv TCL 50" kioo kimekufa

    Mimi sitengenezi electronic yoyote ikiharibika, hivyo nina tv TCL 50" baada kufanya uchunguzi imebainika inahitaji kioo kingine. Kwa mafundi au mtu yeyote namkaribisha tumalize hili.
  2. Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
  3. Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
  4. Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

    Mirror πŸͺž Hello Great thinkers πŸ‘‹ Kwanza naomba niweke sawa hapa Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ? Sielewi hapendezwi au lah(?) Akauliza πŸ‘‡ Huna kazi?: me nina kazi βœ”οΈ Unalipwa?: Silipwi ❌️ NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠 Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa...
  5. Siri za Kioo: Je, Kinabeba Nafsi Yako?

    Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
  6. L

    Hisense Smart TV inch43 nusu kioo kina flicker alafu nusu upande inaonyesha vizuri

    Wakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka yote ikaonyesha vizuri pande zote (japo haikudumu zaidi ya saa). Ila kwa sasa imerudi tena kuonyesha...
  7. Meza za kioo na marble kama hizi zinatengenezwa Tanzania?

    Naomba kufahamu kama hizi meza zinatengenezwa hapa Tanzania? Na ni sehemu gani? Au wauzaji wote wananunua china?
  8. R

    Taja kampuni kama unaijua: Bei ya simu laki 4, kioo kikivunjika gharama yake laki 3 na osheee

    Wakuu, Naona niendelee kutumia infinix na TECNO πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
  9. C

    Nilichokiona kwenye kioo mida hii saa sita kasoro usiku

    Hii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni ) niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka sana na nataka kulala tuu. lakini nilishapanga leo ni ratiba ya kuoga baada ya kutoiga kwa siku kadhaa...
  10. Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  11. Kioo cha smart TV Ailyons 43"

    Naomba kufahamishwa bei ya kioo cha TV ya 43 inches.
  12. Natafuta kioo cha sony 10iii

    Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na nipo mara nahitaji kioo chake
  13. Je, laptop yako imepasuka kioo au housing?

    Tunauza na kubadilisha vioo vya Laptop na Housing zake. Ilala - Dsm 0718290779
  14. C

    Nauza kabati la kioo

    Habari wadau nipo Morogoro mjini nauza kabati la kioo, bei laki 3 na 50.
  15. KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  16. S

    Alietumia dawa za Wachina za kuziba ufa waa kioo cha gari na kuondoa mikwaruzo akafanikiwa tunaomba ushuhuda wako

    Hivi karibuni kumekuwa na kila aina ya products za Wachina zikitangazwa mitandaoni na kusifiwa sana. Kuna baadhi ya products hizi ni fake na uongo mkubwa hadi unashangaa kwa nini serikali inaruhusu utapeli wa namna hii kwa wananchi wake! Mojawapo ya products nimeiona kwenye mitandao ni hizi za...
  17. Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  18. Natafuta kioo cha samsung s9

    Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p
  19. Tukio la kupasuka kioo cha ndege kilicho mtoa rubani na kupona

    Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu. Nguvu ya...
  20. Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…