"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC.
Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na...