kimataifa

  1. PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  2. Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  3. K

    Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

    Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa. Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji...
  4. Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  5. House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa fukwe ya Kigamboni

    One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni -It has six bedrooms all en-suite, sitting room, dining room, kitchen, store and public toilet. -There is a lift and Swimming pool - Servant Quarter with one bedroom, sitting room and public toilet -Plot size Sqmtrs 1,960 -Document...
  6. Tanzania tena kwenye habari za kimataifa!

    Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi. Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia. Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi...
  7. Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

    Wakuu habar zenu Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano Sharti awe mkoa wa mbeya
  8. B

    Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  9. Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  10. J

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo : Emanuel Martine hivi huu ni mkutano mkuu wa tawi la chuo cha Kampala au ni mkutano mkuu wa kitaifa...
  11. Siku ya ndege kimataifa

    Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na kuzuia magonjwa. "Ndege ni muhimu kwa kudumisha usawa wa ikolojia na usalama, na wanatekeleza majukumu...
  12. Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

    Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana...
  13. Hungary imejitoa Mahakama Ya Kimataifa na wamekataa kumkabidhi Netanyahu ICC

    Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC. Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi. Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita...
  14. Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

    Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez. Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
  15. Kitila Mkumbo: Soko la kimataifa EACLC Ubungo watakaopangishwa asilimia 95 ni watanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
  16. NEMC kuadhimisha siku ya Kimataifa ya kupunguza Taka, kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi 2025

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa maonesho ya siku tatu kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupunguza taka yanayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi mwaka huu...
  17. PreGE2025 Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
  18. Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  19. Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI, Arusha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
  20. Bashungwa amwakilisha Biteko, ufunguzi wa Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…