kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je kupungua uzito kumeongeza mvuto wako kimapenzi?

    Kwa wale ambao walikuwa na miili mikubwa au vitambi (overweight/obesity) lakini wakafanya juhudi kupungua. Wakaenda gym na kufanya mazoezi, au wakafanya diet (OMAD, intermittent fasting etc) wakafanikiwa. Vipi baada ya kufanikiwa kupungua mwili je mvuto wenu wa kimapenzi umeongezeka? Vipi watu...
  2. Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  3. S

    Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi

    Wakuu habari ya jumapili? Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi. Hadi ilifika hatua ya kuingia getoni kwangu, lakini niliamua kumkataa. Mpaka najiuliza mwanamke ameolewa ila haridhiki
  4. B

    Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Habarini, Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha. Nilipita pita...
  5. R

    siasa za mahusiano ya kimapenzi za maafisa halmashauri na madams walioolewa na watumishi wenzao halmashauri husika,Tunakomaje!!?

    Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!? Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za...
  6. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

    Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
  7. Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au...
  8. Mamaako alijua wanawake wa babaako huko mitaani. Babaako alijua visa vya mama ako nyumbani ila walichagua usikose zawadi ya malezi ya wazazi wa wawili

    sikufundishi uwe mfuska, sikufundishi uwe kisirani Mwanamke anapenda kuhudumiwa na attention ila hadi at what cost and extent? Mwanaume anapenda kufanyiwa mautundu ya mapenzi na utiifu ila hadi at what extent? Mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea popote itafanya kazi, mwanaume ni compyuta...
  9. C

    Kilio cha wanawake wengi kuhusu uwezo wa wanaume kutiwaridhisha kimapenzi ni athari za kufanya ngono na jini

    Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo. Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya...
  10. N

    Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

    Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa akasema ana mashetani yanapandaga hayataki uke wenza. Wee, bwana akajitosa akalala kwa Upendo siku...
  11. T

    Bodaboda auwawa na mwili wake kutupwa porini huko mkoani Morogoro

    Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...
  12. Binti wa kiafrika alivyomteka Bob Marley kimapenzi

    Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi. Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi wake waliosimama. Picha hii ilipigwa mwishoni mwa miaka ya 1950 nchini Gabon. Msichana huyu akiwa...
  13. Asilimia kubwa ya mienendo ya kingono na kimapenzi kwa sasa yanahaririwa na pornograph

    NGONO NZEMBE NI HATARI KWA AFYA Sex imekuwa vita sasa hivi, watu wanarushana, kukunjana na kupeana vitu visivyoeleweka, yoote ni kutokana na influence ya porno
  14. “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” kwa nini !

    “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi. Utakuta mwanaume mpole, anayejali, anayeheshimu mpenzi wake—ndiye anayeishia kuumizwa zaidi. Wakati...
  15. M

    Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  16. Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  17. Shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?

    Toeni ushauri, shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?
  18. Nicholas Irving, sniper wa jeshi la USA: 80% ya wanaume Afghanistan wanalala na wanaume wenzao, hujihusisha na wanawake kuzalisha ila sio kimapenzi

    https://youtu.be/JckpoXyX2M0?si=UjLYhvyAVyHHVS_R
  19. Watiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwatapeli kimapenzi 'mishangazi' mtandaoni

    Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani. Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
  20. Faida za mwanaume kuwa na mwanamke bubu kimahusiano ya kimapenzi!

    Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi: Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye changamoto ya sauti hutumia zaidi hisia, ishara na macho kuwasiliana. Hii hujenga connection ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…