kimaisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  2. Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  3. Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  4. Masai tuliofanikiwa kimaisha Zanzibar

    1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha, 2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha 3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido. NB: Muungano udumu milele.
  5. Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  6. Wapi tunaelekea kimaisha

    Habari ndugu mwanajamvi wa JF,..matumaini tu wazima na tunaendelea kuhangaika katika kutafuta mkate wetu wa kila siku (japo tuliomba atupe ila kumbe sio kupewa ni kuutafuta kwa nguvu nyingi jasho na hata damu) Back to the topic, (Tatizo ni wananchi au wenye nchi???) Na je ni nani mwenye nchi...
  7. Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila. Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua. Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya...
  8. Wangapi tunajutia Kuyakwepa Masomo tuliyoyadharau O na A levels ambapo kama tungeyasoma leo tusingekuwa tunapigika hivi Kimaisha?

    Yaani GENTAMYCINE nisingekuwa namkwepa Mwalimu wa Somo la Useremala ( Wood Work ) Shuleni nilipokuwa Form One hadi Form Four ( tena akinibembeleza kama Mwanafunzi ) leo hii ningekuwa bonge la Fundi Samani Keko na Tajiri mno tu. Sasa Kumi ni pale aliyekuwa Kocha wangu wa Mpira ( sasa Marehemu )...
  9. Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
  10. Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Hi! Si Wajasiriamali wote kwamba wana maisha mazuri kuliko Watumishi wa Umma ila nataka kusema kuwa wapo Wajasiriamali wengi tu ambao hata leseni ya biashara hawana, Kodi hawalipi kabisa na Serikali haiwatambui lakini wana pesa kuliko wenye maduka ambao hulipa Kodi kwa VAT. Kuna Jamaa anauza...
  11. Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  12. Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato. Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila wanalofanya linakwama iwe ajira, mahusiano na kipato. Wapo watu ambao mambo yao yamewanyokea kutokana na...
  13. Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

    Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert Heriel Mtibeli 4. Deeppond 5. GENTAMYCINE Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
  14. Tupeane uzoefu wale walioanzia chini na kutoka kimaisha

    Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na...
  15. Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  16. Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  17. Tafakuri ya kimaisha

    Nazungumza na wale wenye miaka 35+ Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo. Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa. Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...
  18. C

    Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  19. Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

    Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda. Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano. Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu. Mchaguzi wewe...
  20. A

    Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

    Japo tunasemwa vibaya kutokana na maslahi duni Ila tupo wachache tumeshayapatia maisha kupitia biashara ndogo ndogo ikiwemo kuuza vitafunwa katika migahawa minne karibu na shuleni kwangu hapa jijini Dodoma 1. Salio Benki si Chini ya 100m TZS, 2. Nyumba Bora ya kuishi (Kikuyu Dodoma) 3. Usafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…