kilele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wapanda Mlima 22 wa ARiS na TIRA Wafika Kilele cha Kilimanjaro Kupitia Kili Insurance Summit 2026, wakiadhimisha Miaka 30 ya Mageuzi ya Soko la Bima

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
  2. Kilele cha Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi Nyerere

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini...
  3. Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
  4. Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  5. Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  6. Miundombinu ya kijeshi ya Magaidi wa Hezbollah huko katika Kilele cha Ali Taher nchini Lebanon yaangamizwa!!

    Vyombo vya habari vya Lebanon vinaripoti kwamba tukio la mitetemeko ya ardhi lenye ukubwa wa 4.1 lilirekodiwa nchini Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa katika Kilele cha Ali Taher, ambapo IDF iliharibu zaidi ya kilomita mbili za miundombinu ya chini ya ardhi ya Hezbollah kwa kutumia zaidi ya tani...
  7. Rais Samia China Kilele cha FOCAC

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation). ▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu...
  8. Uzinduzi wa JNHPP: Tanzania Kilele cha Nishati Afrika

    Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii. Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
  9. Live From Uwanja wa Dr. J.S Malecela Nzuguni Dodoma, Kilele cha Nane Nane, Dodoma Kuchele!.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee Pasco, niko hapa jijini Dodoma, nikiwatangazia live mubashara, from Uwanja wa Dr. John Samwel Malecela, Nzuguni Dodoma, kuwaletea kilele cha maadhimisho ya sikuu ya Wakulima ya Nane Nane, inayoadhimishwa kitaifa hapa Dodoma, kiukweli Dodoma Kuchele...
  10. Israeli imelaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa magaidi" huko Doha

    Israeli inalaani Jukwaa la Al Jazeera kama "mkutano wa kilele wa jihadi" huko Doha Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli ilitoa karipio kali kwa Jukwaa la 17 la Al Jazeera lililofunguliwa Doha wikendi hii, ikilielezea kama "mkusanyiko teule wa wanajihadi na wafanyakazi wao wa usaidizi." Jukwaa...
  11. G

    PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29, 2025 yalikuwa kilele cha Ukandamizaji wa Demokrasia, haikuwa bahati mbaya

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania Mwaka 1992, safari ya kuelekea demokrasia kamili imekuwa na milima na mabonde. Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la kutoa uwanja mpana wa mawazo, kuimarisha uwajibikaji, na kuruhusu wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila shinikizo la chama...
  12. Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
  13. Kilele cha Trump-Putin nchini Alaska kinafanana na kushindwa kwa taratibu kwa Ukraine

    Mahali ni jambo la maana, alisema Rais wa Marekani Donald Trump, aliyewahi kuwa mfanyabiashara wa mali isiyohamishika. Dakika chache baadaye, alitangaza kuwa Alaska, eneo ambalo Urusi iliuza kwa Marekani miaka 158 iliyopita kwa dola milioni 7.2, ndiko Rais wa Urusi Vladimir Putin atajaribu kuuza...
  14. Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  15. Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao, Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
  16. Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  17. Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  18. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  19. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  20. KWELI Hii ni theluji iliyopo karibu na kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro

    Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…