kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  2. R

    DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

    Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
  3. Kikao cha Taasisi za Fedha na Waziri wa Madini, Mavunde

    ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA). Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
  4. HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

    Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote nchini humo. Ving'ora vimewashwa kote kuwafanya watu kuingia kwenye mahandaki yao.Uwanja wa...
  5. Dkt Biteko ashiriki kikao cha Mawaziri wa nishati nchini Uganda

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika...
  6. Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  7. DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  8. Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 51, Juni 21, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
  9. Waziri Mkuu anajibu maswali ya Wabunge, Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 47, Juni 13, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=b72QKndzitE
  10. Chama cha Jacob Zuma, Umkhonto we Sizwe chawasilisha maombi Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha Bunge

    Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
  11. Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa Fedha za Umma (Bungeni Juni 10, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
  12. Waziri Bashungwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi (2024/25) , Mei 29, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
  13. Bunge la 12, Mkutano wa 15 Kikao cha 31, leo Mei 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=o3biLN7gveM https://www.youtube.com/watch?v=hgIgYbtkAKM
  14. J

    Dkt Yonazi aongoza kikao cha makatibu wakuu

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa Jijini Dar es Salaam Aprili 26, 2024 pamoja na...
  15. Waitara: Ni sahihi kukusanya kodi ya Serikali kwa njia ya kumwaga damu? (Bungeni Mei 15, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025. WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU? Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
  16. I

    Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  17. U

    Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.
  18. Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

    Habari za muda huu wazee wenzangu. Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba vya wapendanao........ Malalamiko mengine ni ya gubu la kike lakini mengine ni ya msingi na...
  19. Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
  20. Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 10, leo Aprili 19, 2024. https://www.youtube.com/live/h8L3SNRSR0U?si=qvKhhc51kozgQi_y Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina amesema Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia Wizi, Ufisadi, Rushwa na Mateso kwa watanzania yanayokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…