Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi. Salome Cyril Kessy, akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wataalamu wa sekta ya Ardhi wa Mkoa wa Dodoma, kilichofanyika tarehe 18 Novemba 2026 jijini Dodoma.