Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC.
Kupitia taarifa yake, mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...