kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani umezumgumzia kifo Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani Zanzibar, Kauli ya Ubalozi huo, inatokana na maswali yaliyoulizwa na AyoTV, iliyotaka kufahamu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

    Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani? Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia? Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa. Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “ haki ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii Habari ya Kifo Haijapewa Kipaumbele?! Sijaisikia!!

    Habari Wakuu, Taarifa inataarifu mlembwende huyo ambaye ni influensa kutoka USA amefia kwenye moja ya Resort ya hali ya juu hapa TZ. Hii habari ni ya zamani mimi ilinipita au ni manga'nyu? Sijaipata kwenye nyuzi kabisa. Kuna mwenye taarifa? Inaonekana mpenzi wake anahusishwa. Mapenzi bana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
  6. JamiiForums Tanzania Gaidi huyu aliomba kifo Israel wakamtimizia haja yake!!

    Siku mbili zilizopita, gaidi wa Hezbollah Abbas Awala alionekana katika moja ya video za Hezbollah akiendesha kifaa cha kurusha roketi huku akiwa amevaa sanda ya mazishi, tayari kwa kifo chake. Jana, IDF ilikubali ombi lake na kumuua bila huruma yoyote!! Allah-Akbar Adiosamigo mdogoee @gallna...
  7. JamiiForums Tanzania CCM yatoa pole kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria, Liamine Zeroual

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual. Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
  8. JamiiForums Tanzania Kusherehekea Misiba Pia ni namna ya Kuomboleza Tusifundishane namna ya kuomboleza Kifo ni kifo tu

    Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji. Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe na wao huwa wanaumia moyoni wanaposoma komenti za wanaofurahia MwanaCCM akifa! Mbona hawakukumea ile kauli " kifo ni kifo"

    Nimemsikia Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akisema huwa akipita mitandaoni huwa anakutana na komenti zinazosikitisha hasa inapotolea misiba ya wanaCCM Nimepata picha kumbe na wao huwa wanaumia. Sasa mboba ile kauli ya kifo ni kifo hakuna aliyeikemea ndani ya CCM?
  11. JamiiForums Tanzania Prophet Suguye alitabiri kifo cha Kiongozi Bungeni

    Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Gazeti la Mwananchi kilitarajiwa baada lakini siyo ghafla kiasi hiki

    Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

    Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema: “Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169) Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua...
  15. JamiiForums Tanzania Benyamin Netanyahu Kafa? Kama siyo mbona wanajieleza Sana

    Nawasalimu Kwajina la JF! Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi, Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  18. JamiiForums Tanzania Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  19. M

    JamiiForums Tanzania Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  20. JamiiForums Tanzania DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

    Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni. DVT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…