kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Habari wakuu! Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
  3. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  5. JamiiForums Tanzania Maboresho ya Kuwapa Kinga TISS na Ukodishwaji wa Bandari ya Dar ni kifo Kwa Watanzania

    Hii thread ni fupi isichanganywe Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania. Kama itatokea TISS wakaungana kulinda maslahi ya WABIA hawa wapya na ikatokea Baadhi yetu tukapinga ina...
  6. JamiiForums Tanzania Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

    Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani. Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley. Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

    Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
  8. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu. Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tume yatua Kilimanjaro uchunguzi kifo tata cha Nusura

    Moshi. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah. Taarifa zilizopatikana jana zilisema tume hiyo iliwasili katika Mji wa Himo Mei 26 mwaka huu...
  10. JamiiForums Tanzania Utata waibuka kifo cha mtoto wa miaka 11 aliyejinyonga.

    #UPDATES Mama mzazi wa mtoto Yusra Hassan mkazi wa Nyengedi Mkoani Lindi aliyefariki kwa kujinyonga ameeleza kuhusu kifo cha mtoto huyo huku akihusianisha tukio la kifo cha mtoto wake na imani za kishirikina Fatuma Salum Mama wa marehemu anasema, kifo cha mwanaye hakikuwa cha kawaida kwani...
  11. JamiiForums Tanzania Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Leo Mei 28, 2023 imetimia miaka 10 tangu kutokea kifo cha ghafla cha Nyota wa Hip Hop, Bongo Flava na Mkali wa "Freestyle" kutoka East Zoo Dom, Mangwair au Ngwair au Cowbama Wakati wa uhai wake, alijizolea sifa ikiwemo kuwa na uwezo kuingia studio na kurekodi 'Ngoma' bila kuandika (Freestyle)...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiaminiwa aminika: Kuvunja uaminifu kulivyosababisha Kifo

    Kisa cha kwanza Leo nimemkumbuka jamaa yetu fulani ambaye miaka mingi iliopita alikuwa mfanyabiashara kijana. Alikuwa akifuata mizigo Uganda na kuuza TZ. Mungu akambariki akanunua Fuso mbili za mizigo na gari moja la kutembelea. Akajenga nyumba yake na kwa umri wake na mkoa alipokuwa, alikuwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Salamu kwenu jukwaa! Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
  15. JamiiForums Tanzania Kifo ndiyo mapumziko

    Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu! Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia. Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja...
  16. JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Dar es Salaam. Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia...
  17. JamiiForums Tanzania Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

    Wakuu GT.. nawasalimia sana. Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Utangulizi Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika. Ubora huu wa raslimali watu ndo hutofautisha nchi na nchi, bara na bara katika maendeleo ya kiuchumi...
  18. JamiiForums Tanzania UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…