kifaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MNH-Mloganzila yatoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume kwa kupandikiza kifaa maalum

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa na bingwa bobezi kwa kutoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume(Penile Implant Surgery) kwa wanaume wenye changamoto hiyo ambao hawajafanikiwa kupata nafuu kupitia matibabu mengine. Akizungumza kuhusu...
  2. Kulikoni jamiiforum, au ni kifaa changu?

    Ni matumaini yangu ni wazima. Najaribu kulog in kwenye huu mtandao naona haufunguki,mwanzo nilidhani ni router. Nikanunua mbs za kawaida bado hola,ila nilivyojaribu kuingia Kwa namna nyingine imewezekana. Swali na kwenu kupo hivi au ni kwangu tu? Karibuni.
  3. TFF asante kwa kifaa cha kupima hewa vyumbani, shida yetu siobali msomaji wa kifaa.

    Ahsante TFF kuingiza kwenye ligi kifaa cha kupima viwango vya hewa vyumbani (gases detector) wanakobadilishia jezi wachezaji. Kifaa kinaweza kupima hewa vizuri lakini aliyekwenda kukisoma na kutoa majibu akapindisha kwa maslahi yake. Maswali ni: 1. Nani atahusika na upimaji? 2. Gases/harufu...
  4. Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  5. Natafuta kifaa kama hiki cha OBD ii

    Natafuta kifaa kama hiki cha OBD II Kwa mwenye nayo aniuzie,nipo Dodoma
  6. F

    Natafuta kifaa cha kutengeza hatch kama hii

    natafuta kifaa cha kujanga hatch kama hii ya mwezi mchanga
  7. B

    Ab roller kifaa cha mazoezi

    Habari zenu mabibi na mabwana!! Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia? Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
  8. Kwa Kariakoo, wapi naweza pata VR Box? Maana naona imeanza kuwa maarufu

    Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
  9. Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  10. F

    Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

    Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English. Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
  11. Vanvera: Kifaa cha Karne ya 19 Kilichowawezesha Wanawake Kuficha Gesi(ushuzi) kwa Umaridadi

    Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera. Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
  12. U

    Je kifaa hiki kinafaa kwa jiko la umeme?

    Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
  13. Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  14. Picha: Naitaji Hiki Kifaa

    Wakuu anaitaji hiki kifaa, kazi yake ni kuua mbu, unachomeka kwenye umeme then kinatoa harufu flan hivi Mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata
  15. Daladala zinazokatisha Ruti, zikikamatwa kuanza kufungwa kifaa cha VTS ili kufuatiliwa

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
  16. K

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  17. Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  18. Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  19. K

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  20. Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…