kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mfumo upi unaweza punguza nguvu ya mfumo wa Kidigitali? Maana unazalisha ajira nyingi sana kwa vijana

    ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—”๐—๐—œ๐—ฅ๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—๐—”๐—ก๐—”: ๐—๐—˜, ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐—™๐—จ๐—ฅ๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—ข๐—ฃ๐—ข? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ž๐˜ข๐˜ต๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 255.13 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ข ๐˜ป๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 109 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜“๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ต๐˜ข ๐˜บ๐˜ข ๐˜๐˜Š๐˜› ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 1.6 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข, ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ท๐˜บ๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2019. ๐˜œ๐˜ต๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ต๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข...
  2. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    ๐—™๐—ฅ๐—ข๐—  ๐—ฃ๐—”๐—ฌ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง๐—ฆ ๐—ง๐—ข ๐— ๐—”๐—ฅ๐—ž๐—˜๐—ง๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜ฏ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.30, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 16 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜ž๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข...
  3. M

    Naomba support yenu kidogo โ€“ Nimekuwa nikitengeneza platform ya kidigitali, nahitaji watu wa kuijaribu na kunipa maoni

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijifunza na kujituma kwenye masuala ya technology na software development, na katika harakati hizo nimeweza kutengeneza platform inayoitwa Taifika. Kwa sasa nimefikia hatua ambayo ningependa watu wengine zaidi ya mimi mwenyewe waijaribu, waichunguze na kunipa...
  4. MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  5. Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  6. CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  7. Mkataba wa Upangaji? Fanya KIDIGITALI na eSaini

    Mkataba wa Upangaji? Fanya KIDIGITALI na eSaini. Umechoka na karatasi, kusafiri kumtafuta mpangaji au kusubiri mkataba usainiwe? eSaini inakupa njia rahisi ya kusimamia mkataba wako wa nyumba, apartment au fremu ya biashara kwa njia ya kidijitali. ๐Ÿ”น Tengeneza mkataba wako ๐Ÿ”น Tuma kwa mhusika ๐Ÿ”น...
  8. Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwaโ€”Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  9. L

    BOT: Msitupe Pesa Chini Harusini . Tunzeni Kidigitali

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa ๐Ÿ‘‰Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania wanaotoa zawadi za fedha taslimu katika sherehe mbalimbali kuacha utaratibu wa kutupa noti na badala yake kutumia mifumo ya malipo ya kidigitali ili kulinda ubora wa fedha zinazotumika Nchini. Hayo yamesemwa...
  10. Je, bado haujafika muda wa Tanzania kuwa na mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi nyaraka muhimu?

    Habari za muda huu wanajamvi, Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na sekta binafsi kuweka mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi taarifa na nyaraka muhimu za mwananchi...
  11. A

    KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  12. Y

    Hatimaye Kafulila atekeleza ahadi ya Ubia wa kukagua magari Kidigitali ni wa Sh. Bilioni 300 kwenye mikoa 26

    Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26 === Dar es Salaam โ€“ Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
  13. M

    ARUSHA: Wadau wajadili masuala ya uzalishaji wa habari pamoja na usambazaji wake katika mazingira ya Kidigitali

    Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
  14. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  15. A

    KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  16. Ethiopia wameanzisha vituo vya Polisi vya kidigitali, unatoa taarifa moja moja bila kuonana na Polisi

    Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
  17. Hatua inayofuata ni mifumo yote kusomana kidigitali

    1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k 2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k 3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza...
  18. E

    Faida, changamoto za matumizi miundombinu ya kidigitali katika VICOBA

    Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo. Kisha wameweka utaratibu...
  19. KWELI Nyenzo za kidigitali zinabainisha eneo ilipopigwa picha hii ni fukwe za Ziwa Nyasa Kyela, Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
  20. N

    Nilimwambia Maxence kuhusiana na ubunifu wa JamiiSpace akaniambia ni vizuri tukawa wengi kwenye kupigania uhuru wa kujielezea kidigitali

    Habari wakuu, Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii, ninacho jivunia siyo utajiri wala umaarufu, bali ni ule uwezo wa kuingia kwenye mradi na kutengeneza na kukamilisha kitu chenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ