Vurugu zimeibuka katika mtaa wa Kimindorosi, Kata ya Ulasiti jijini Arusha, baada ya mwanafunzi wa kidato cha pili kukutwa nyumbani kwa mwanaume anayefahamika kwa jina la Sala, anayedaiwa kuwa mwanajeshi, katika mazingira yanayohusishwa na tuhuma za mahusiano ya kimapenzi.
Akizungumza kuhusu...