kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. Maamuzi unayofanya leo ndiyo yanayojenga msingi wa maisha yako ya kesho/future.

    Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate Usidharau steps zako sasa keep moving, focus Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
  2. Uchumi wa PPPs anao ujenga Kafulila sio wa kuutegemea, ni sawa na paracetamol kutibu malaria, wawekezaji ni wapangaji leo wapo kesho wanaondoka.

    Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii. Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania. Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
  3. USINUNUE KIWANJA KWA KUANGALIA UMBALI WA LEO, ANGALIA MAENDELEO YA KESHO

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  4. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  5. Usishangae kesho

    Kipindi cha JPM, Tundu Lissu alipigwa risasi. Kikwete, kwa ubavu na nguvu zake, alisaidia Tundu Lissu kuvuka mipaka na kwenda kupata matibabu nje ya nchi. JPM akazuia watu kwenda kumtembelea Tundu Lissu. Samia akapuuza zuio hilo na kwenda kumtembelea Tundu Lissu nchini Kenya. Ghafla, JPM...
  6. M

    Hakuna ajuaye kesho yake

    Surat Luqman (31:34): وَمَا تَدْرِي نَفْسٌ مَّاذَا تَكْسِبُ غَدًا Maana: Wala nafsi yoyote haijui itachuma nini kesho.
  7. Wakati wako unapokuwa kwenye uhakika na kipato kumbuka kesho utakuwa chini

    Hii ipo kwa watu wote kuanzia wanasiasa wanamichezo wasanii wafanyabiashara pia. Kwa mfano kwa kazi yangu hapa nilipo kwa sasa sina mpinzani ila nimeshajiandaa tayari muda wowote najua atatokea mpinzani sasa ninachopambana mm hapa ni kuboresha tu huduma yangu na kuhakikisha hata kama atakuja...
  8. Kwa hali ilivyo na unavyoona. Je kesho Lisu anatoka au atanyongwa?

    Kwa hali ilivyo na unavyoona. Je kesho Lisu anatoka au atanyongwa?
  9. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  10. M

    Samia atangaza October 29 kama siku ya Mapumziko. Kesho watu pumzikeni

    Nimekutana na hii taarifa. Kesho wananchi watulie ndani
  11. Q

    Askofu Rweyongeza: Hata kama kesho kutakuwa na mabomu kama ya tarehe 29, njoo Kanisani kusali

    Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
  12. Nitakuwa Masasi kesho kutwa, nielekezeni sifa za walimbwende wa kusini

    halaa halaa kumekucha.. natarajia kusafiri kesho kuelekea Masasi... sijui sana hints za mabinti wa kule kwa sababu nina muda mrefu sana sijakanyanga nyumbani... tafadhalini, mnaoishi huko na ambao hamuishi ila mna info, si vibaya mkinipa. natanguliza shukrani za dhati sana. Mnachihanguu
  13. Kama Dk Nchimbi hajashikiliwa kizuizini kesho tumuone kanisani na waumini wenzaje kisha apewe nafasi ya kusalimia

    Dk Nchimbi ni mkatoliki anapenda kwenda kanisani. Kama hajawekwa kizuizini kibabe huku akionyeshwa bastola basi kama ilivyozoeleka mruhusuni aende kanisani na kisha asalimie waumini na kutoa neno nini kilimsibu.
  14. Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  15. R

    Kesho wakileta fulana na kofia yanasahau kila unyama waliofanyiwa

    Bomoa bomoa Kaza buti yatie adabu maana hayafundishiki kuwa ccm ni mashetani
  16. Doumbia asipofunga kesho nipigwe ban ya saa 24

    Lile striker la boli nasikia linatupia huko kambini ni balaa. Kesho Diara kazi anayo.
  17. Z

    Simba kesho hatoboi kwa yanga anapigwa tena.

    Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia, Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana...
  18. Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja. Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI. NDO MAANA...
  19. L

    CHIVAYO Na Mkewe Kuzikwa Kesho. Pichani Haya Ndio Majeneza yaliyobeba Miili Yao. Bara Zima La Afrika Laomboleza Vifo Vyao. Marais Kutua Zimbabwe.

    Ndugu zangu Watanzania, Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja . Ambapo viongozi mbalimbali na Wananchi mbalimbali wameanza na wanaendelea kumiminika katika kumsindikiza Tajiri huyo wa...
  20. R

    Kesho atapatikana Rais kutoka kundi hili

    Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…