katuni

  1. Gwiji wa Sauti za Katuni Eric Bauza Afariki Akiwa na Miaka 46

    Eric Bauza, mwigizaji maarufu wa sauti za katuni, ameripotiwa kufariki akiwa na umri wa miaka 46, akiacha urithi mkubwa katika tasnia ya sanaa za kuigiza sauti. Alijulikana kwa kuigiza sauti za wahusika maarufu kama Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Tweety na Marvin the Martian. Katika maisha...
  2. R

    Itafsiri katuni hii ya Masoud Kipanya

    Nitatoa tafsiri yangu mwishoni
  3. M

    Mchoraji wa Katuni hii ana maana gani?

  4. TANZIA Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia

    Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo cha King Kinya...
  5. Katuni inayoelezea siasa za Tanzania kiuhalisia

    Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo. Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania Cha kusikitisha watu...
  6. M

    Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

    Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
  7. W

    Ipe maneno katuni hii ya DW

    Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni akipambana kubaki katika kiti cha urais. Je yapi matarajio yako kwa uchaguzi huo wakati huu muda ukiyoyoma?
  8. Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  9. PostGE2025 Katuni hii inakupa picha gani kwa wanao hubiri amani ?

  10. Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  11. katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  12. Kwenye katuni hii Masoud Kipanya anatoa ujumbe gani?

    Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
  13. Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  14. Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  15. Katuni hii inakupa picha gani ?

  16. Wazee wa katuni za channel 10 miaka ya 2009-13 TUKUTANE

    Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network, nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball, Angelo rules, scooby doo, the grim adventures of billy and mandy(billy chizi😂), young justice, green...
  17. Tupia katuni au mchoro wenye maana pana

    Weka cartoon au mchoro wenye maudhui mapana katika jamii. Ukiweza kufafanua itapendeza sana.
  18. Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

  19. Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

    Technologist njooni mtoe majibu nilivutiwa sana na uchoraji wake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…