katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI KATIKA PICHA

    HII ILIKIWA MATOKEO YA MARA YA MWISHO WATANZANIA WALIVYOJARIBU KUIONDOA CCM MADARAKANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
  2. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Ifahamu tarehe 01 November na tarehe 02 November katika mapokeo na kumbukizi katika Kanisa Katoliki

    Karibuni kwa maada ..... Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
  4. JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  6. JamiiForums Tanzania Pale Shetani anapotaka tushirikiane nae katika mambo yake

    Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi Angalau hao huwa na uhuru wa kuamua kushirikiana mambo ya shetani kwa utashi wao,lkn jambo baya ni kushirikishwa mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

    Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma. Na huu ndio muonekano wake ndani Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora. Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbali Wadau wengine wanadai...
  8. JamiiForums Tanzania Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  12. JamiiForums Tanzania Faida ya uchangamfu katika maisha

    Habari ya muda huu Wapwa? Natumaini mnaendelea vizuri kabisa, ila kwa wale ambao hamko vizuri kwa namna yoyote Mungu awaongoze mvuke katika hilo. Wapwa, leo nagusia kuhusu uchangamfu katika biashara, mahusiano au sehemu zingine. Kabla sijaendelea nikuulize, hivi ulishawahi kukaa, kuhudumiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMA

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe. Balozi Yakubu alimueleza Mtendaji Mkuu Bwana Ahamada kuhusu hatua kubwa ambazo Tanzania imepiga katika...
  14. JamiiForums Tanzania TBC wanaandika Jenerali Musuguri alizaliwa 1920, Mkuu wa Majeshi ameandika katika taarifa rasmi, kwamba Musuguri alizaliwa 1925. TBC mjirekebishe

    Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma. Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  17. JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…