katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: CCM yashinda Mitaa yote Minne ya Kata ya Osunyai Jr

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Osunyai 2. Mtaa wa Jr 3. Kirika B 4. Ngusero
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

    Roman Empire ilikuwa na nguvu sana ndio maana mpaka leo inaendelea kutawala dunia.
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Naibu Waziri Ummy Nderiananga apiga kura Kiriche katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
  4. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  6. JamiiForums Tanzania Teknolojia katika Uchaguzi

    Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha. Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha?! Kutekelezwa kwa Na. 1, maana yake yote yangefanyika popote mtu alipo bila tatizo lolote; kwa hali ilivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Eric Shigongo afanya kampeni ya nyumba kwa nyumba Kata ya Irenza

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima. Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wananigombania, nisaidieni kutoka katika hili. Nimejitahidi, nimeshindwa

    Habari wanajukwaa. Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni Kama nilivyoandika hapo juu: Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa wakivutiwa kufanya ngono NAMI Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa na nikiwa sijui chochote, kuna Binti wa F4...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna balozi huwa "zinaajiri" waandishi wa habari ili ya kuwapa taarifa za mambo yanayohusu nchi zao katika vyombo vya habari, hii pia ni espionage

    Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Manispaa ya Songea: Vituo 210, Wagombea 987 tayari kwa kinyang’anyiro

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

    Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933 African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President)...
  17. JamiiForums Tanzania Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

    Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa. Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
  18. JamiiForums Tanzania Daima iangalie ndoa katika mtazamo wa kibiashara

    Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu. Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima, anapewa mke na ardhi ya kulima ili aweze kulisha familia yake. Mke nae aji mikono mitupu, ndugu...
  19. JamiiForums Tanzania Thamani ya Mwanamke katika jamii

    THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII. Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili , Hii imekuwa ina tokea katika nyakati tofauti Tofauti , inafikia Time hadi mwanamke anapambana kuhudumia familia kwa kutafuta chochote kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Katika kuelekea safari ya kuoa maoni nayo kutananayo

    Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda", Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…