katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  2. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

    Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
  4. JamiiForums Tanzania Lugha katika picha; Usinene ukamala

    Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea. Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya. Ikiwa imemzidi...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  6. JamiiForums Tanzania Siku zote Lissu hushinda katika ushindani mgumu

    1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  8. JamiiForums Tanzania Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  9. JamiiForums Tanzania Eti mtu anaulizia validation ya Lissu katika chama. Are you serious?!!! This guy almost died kwa ajili ya chama!

    Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako. Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli utafikiri damu yake haikuwahi kumwagika kwa ajili ya mapambano yenu.
  10. JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea. Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa/spell ya kienyeji ya kukuza uteja katika business yako ili uongeze kipato au ni myth tu?

    Karibuni.
  13. JamiiForums Tanzania RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  14. JamiiForums Tanzania Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  15. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  16. JamiiForums Tanzania RC Daniel Chongolo ashiriki katika mazishi ya aliyekuwa DC wa Mbozi, Ester Mahawe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa Songwe, wamewasili Mkoani Arusha, tarehe 19 Januari 2025 kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Marefarii kutoka TZ katika Shirikisho muda huu!

    Waamuzi wa Tanzania ndio wanachezesha mechi ya shirikisho ambayo imeanza saa nne kamili kati ya RS Belkane vs Stellenbosch. Mwamuzi wa kati-Ahmed Arajiga Wasaidizi: Salimu Mkono Mohamed Seif Mpanga Kasimu Nasir Salum Siyah NB; Wengine hao wasaidizi wametoka Zanzibar sehemu ya Tanzania. My...
  18. JamiiForums Tanzania Lionel Messi katika miaka 21

    Lionel Messi amefunga goli kuanzia mwaka: 2005 2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012 2013 2014 2015 2016 2017 2018 2019 2020 2021 2022 2023 2024 2025 MBUZI 🐐 🇦🇷
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…