katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu nilisema simtoi out nibane matumizi Sasa katika nguvu zote zimeisha

    😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
  3. JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  4. JamiiForums Tanzania Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  5. JamiiForums Tanzania Namna Ya Kuimarisha Mapenzi Katika Urafiki Wa Kawaida

    Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa mnakuwa pamoja,nikwambie kitu expert? Hakuna watu ambao hawapendi kujua kwamba upo interested na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Walipa Kodi Mkoa wa Kikodi kupata huduma katika Majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower

  7. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  8. JamiiForums Tanzania Kizazi cha dhahabu cha watawala nguli katika geopolitics na diplomasia ukanda wa SADC na Africa Mashariki kimefifia sana

    Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma. Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini enzi na enzi wanyama hawa wamekuwa wakihusishwa na allegedly kushirikishwa katika uchawi/ushirikina.

    FISI MAMBA (Maeneo ya Ukerewe) BUNDI NYOKA PAKA NYUKI PANYA Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
  10. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  11. JamiiForums Tanzania Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza katika Africa Head of State Energy Summit (mission 300), January 28th, 2025

    https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80% Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

    1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM? 2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana. 3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa. Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli. Pia soma - Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  20. JamiiForums Tanzania Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…