katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
  3. W

    JamiiForums Tanzania TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura Uwanja wa Abeid Amani Karume baada ya hitilafu katika mfumo wa gia

    Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar ilifanya kutua kwa dharura kwa hali ya kushtua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
  5. JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  6. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kijiji Katika Borat (2006) Hawakuwa Waigizaji – Walihisi Wametumiwa!

    Katika filamu ya Borat: Cultural Learnings of America for Make Benefit Glorious Nation of Kazakhstan (2006), kulikuwa na tukio la kushangaza sana nyuma ya pazia ambalo linachukuliwa kama moja ya matukio ya ajabu sana katika historia ya vichekesho vya Hollywood. Wakazi wa kijiji kilichoonyeshwa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini laanza Mwanza

    Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara ya Madini na Taasisi zake, Taasisi za Serikali, Taasisi Binafsi, Taasisi za Fedha, Kampuni za...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamuamini katika uwepo wa Mungu au miujiza, hii nini kwa kweli

    Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tusijifanye hatujui kuwa hata Tanzania sasa imejumuishwa katika nchi zaidi ya 30 ambazo Wananchi wake hawatakiwi kwenda Marekani

    Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Lissu aletwe Mahakamani Juni 27, 2025 katika kesi ya marejeo aliyoifungua

    Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025 imeahirishwa hadi Juni 27, 2025. Shauri hilo lilipangwa kusikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jaji...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  15. JamiiForums Tanzania Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

    Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa. Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu. Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na...
  16. JamiiForums Tanzania Je katika mkataba huu wa uchimbaji Helium nchini, tuko serious kweli?

    Leo nmekutana na habari kuhusu Tanzania kuingia mkataba wa uchimbaji Helium, kwamba Tanzania tutapata 17% tu huku mwekezaji akipata zaidi ya 83% Nikiangalia kiundani mkataba huu wa Helium One (Southern Rukwa, Tanzania) na Serikali ya Tanzania kuhusu uchimbaji wa helium katika eneo la Southern...
  17. JamiiForums Tanzania Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  19. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

    Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
  20. JamiiForums Tanzania Katika hawa watu watatu waliokukosea na wakakiri makosa,kila mmoja utampa adhabu ipi kulingana na kosa lake?

    Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake. Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo 1:Faini Milioni mbili 2:Jela miaka miwili 3:Msamaha Washtakiwa wanakabiliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…