Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Naandika hoja hii nikiwa mwananchi na Mkazi wa Kijiji cha Nyambili, Tarafa ya Bungu, Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani kuna kero inayotukabili tangu mwaka 2020 hadi leo bila kupata ufumbuzi wala haki yetu.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuja na kujenga mnara wa mawasiliano katikati...
Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na wateja pamoja na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara.
1. Chagua eneo lenye soko la...
Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita.
Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
Anonymous
Thread
geita
halmashauri
hospitali
hospitali ya wilaya
katika
mkoa
mkoa wa geita
watumishi
wilaya
wilaya ya geita
Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa,
Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo,
na...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
Mkasa wa KWEKA na mkewe uliopelekea kutoana uhai kijeshi ni simulizi inayozua maswali mengi, maoni mseto shuhuda anuai na shauri mbalimbali.
Swali lililoulizwa sana ni....
"Kwa nini Kweka amemuua mkewe mrembo kiasi kile kwa risasi?"
Je hakukuwa na namna nyingine ya kutatua changamoto zao kabla...
Habari za muda huu.
Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika kozi ya Bachelor of Science in Nurse Anaesthesia.
Kozi hii imekuwa na mahitaji makubwa, hasa kwa...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulu
mwigulu nchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
Ni muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃
Imefikia hatua hata...
In fact,
kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi.
Sheria na...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.
Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology,
Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na...
Watu 17 wamefariki katika ajali mbaya iliyohusisha magari kadhaa eneo la Mlima Kiu, Salama, kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa, Kaunti ya Makueni, mapema Jumamosi, Oktoba 3, 2026.
Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku, wakati lori lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea...
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.
Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha