katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DAR: Tanzania Na Marekani Kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya

    Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi Dar es Salaam, 14 May 2026 The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with Chargé d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika maisha halisi, unaweza kutunza siri ukiteswa kisawa sawa kama tunavyoona kwenye filamu.

    Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ? kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
  3. JamiiForums Tanzania Wanne wafanyiwa Upandikizaji Figo kwa Njia ya Tundu Dogo katika Hospitali ya Muhimbili

    Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo (laparoscopic surgery), hatua inayotajwa kuongeza ubora wa huduma na kuharakisha uponaji kwa wagonjwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Katika so called Marais wa East Africa, nani Dictator katili kuliko wote

    Nauliza tu. Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda, Kenya, Zanzibar, Wote ni madikiteita, Nani katili kuliko wote
  5. JamiiForums Tanzania Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna watu wanauza Dizeli kinyemela Kijiji cha Sukamahera, Manyoni kisha wanahifadhi katika makazi ya watu

    Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni. Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza mafuta kwa wafanyabiashara ya “sheli Bubu” na mafuta hayo yanahifadhiwa katika nyumba za makazi ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania katika kupitapita sikumoja nilikutana na maswali kadhaa ambayo yalinifikirisha sana... niliamua kuyafanyia utafiti wa kina

    kazi zetu hizi zinatufanya tuwaze sana na pia kusoma mawazo ya wengine sana sana ili kujenga parten fulani... katika baadhi ya paradox nilizowahi kuzifanyia utafiti wa kina ni pamoja na hizi mbili: moja ina hoji kwamba je mimi nikiwa nina meli yangu nimeinunua. kisha baada ya miaka kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kiwanda cha Kuchakata mafuta (Refinery) kutoa IPO katika masoko ya hisa Africa.

    Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Katika Mkataba wa Bomba la Mafuta Hoima -Tanga imeandikwa Refinery itajengwa Tanga.

    Watanzania hasa wapenda maendeleo suala la kujenga refinery ya Crude oil ya Uganda limeandikwa kwenye Mkataba siyo suala la Makubaliano na Dangote refinery ya crude oil itajengwa na waofanya drilling ya Total Energy. Lakini Tujiulize Refinery ya Mombasa itakua inasafisha mafuta gani? labda...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni inayofanyakazi katika Mradi wa MSD haiingizi malipo ya NSSF kwa Wafanyakazi wake

    Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato. Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msamiati mpya katika Kamusi ya Madikiteita

    In Samia Suluhu’s authoritarian dictionary 👉🏽Criticism of her = wananitukana 👉🏽Protests/ Maandamano = kufanya fujo 👉🏽To kill, abduct and torture = kuchapa mikwaju 👉🏽 Freedom of expression = nywinywinywi 👉🏽 Demokrasia = utovu wa nidhamu 👉🏽Authoritarianism = mila na desturi zetu By Maria Sarungi
  14. JamiiForums Tanzania Hivi katika maisha yako umewahi kuzika ndg yako asiye na kichwa ?

    Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida. Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji. Hatukwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  16. X

    JamiiForums Tanzania Bwana Misosi akiwa bado underground aliwezaje kuwapata wasanii wakubwa walioonekana katika video yake "Nitoke vipi?"

    Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video. Kwa msanii...
  17. JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kambarage Wasira akiomba kura kwa wabunge kumchagua kuwakilisha katika Bunge la EALA

    Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
  19. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Habari ya leo wadau!Kama mtu anaanza kuwekeza katika hisa leo 4/5/2026 unaweza kumshauri anunue hisa za kampuni/benki gani?NAOMBENI USHAURI HAPO
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU bila kuchagua?

    Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua? Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…