katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baadhi ya Madiwani wanahusika katika kusababisha Migogoro ya Ardhi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya Viongozi wakiwemo Madiwani wa Halmashauri mbalimbali wamekuwa na utaratibu wa kuanzisha Vijiji kwa lengo la kujinufaisha kwenye masuala ya Uchaguzi, hali inayochangia kuibuka kwa migogoro ya Ardhi Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Viongozi aliowateua...
  2. JamiiForums Tanzania Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa kisekta wa ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa Kisekta wa Ushirikiano katika sekta ya Ulinzi, tarehe 8 Machi, 2024.
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya kujiepusha na maneno ya uchonganishi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Mhe. Maganga ametoa wito...
  6. JamiiForums Tanzania Lugha ya Ishara ni muhimu katika jamii

    Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya usaliti

    Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu. Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo. Hili duka cha kwanz siipendi hii...
  11. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba katika ziara ya inayogusa sekta kadhaa nyeti nchini Rwanda

    11 March 2024 Kigali, Rwanda Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma. Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani

    Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo. Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada: Swala tano Kusoma...
  13. JamiiForums Tanzania Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini. Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
  14. JamiiForums Tanzania Kuingia kwa Bei Elekezi: Failure ya market economy katika Tanzania?

    Asubuhi hii nasikiliza taarifa ya habari, nasikia Zanzibar nako serikali ya huko imetangaza Bei Elekezi kwa sukari! Nafika ofisini mapema n inabidi nijiulize kwa makini. Nini maana ya bei elekezi? Hii ni bei iliyopangwa na serikali baada ya kuondoa gharama zote za uzalishaji, na kuongeza...
  15. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwaza/kufanya jambo tofauti katika maisha yako?

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 17 nilishawahi kuwaza kujiua sababu niliona kama nateswa au kunyanyaswa. Nilishawahi kufikiria kuacha shule kabisa,kutaka kuishi maisha ya kitaa sababu kichwa kilikuwa kizito alafu hata maisha kwangu sikuyaelewa kabisa. Mawazo ya kuomba dua za utajiri wakati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke

    Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku moja mama yake Ibn Mas'uud (Radhwiya Allaahu 'anha) alitaka maji ya kunywa na ilikuwa usiku – kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

    Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa. Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya . Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako. Elewa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha: 1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia 2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri 3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji 4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia 5. Inga Dams...
  20. JamiiForums Tanzania Majina ya Ali (Ally) Katika Historia ya Kupigani Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana. Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa. Ali Masham alifungua tawi la TANU nyumbani kwake na tawi hili lilifanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…