Wakuu habari Majukumu!
Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua),
Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki.
Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...