katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jomo Kenyatta (56) na Abdul Sykes (26) Katika Mkutano wa Siri, Nairobi 1950

    IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s "Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952": "...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has dispatched letters to all branches asking members for suggestions under the following...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  3. JamiiForums Tanzania FCS yasaini makubaliano ya kuboresha Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu katika uendeshaji wa biashara

    Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja ya mapenzi, mahusiano na ndoa

    NB: picha kwa hisani ya mtandao. UTANGULIZI. 👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao. Wakati mwingine, matarajio haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri, jinsia, na hata muktadha...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Ada ya kumuona Daktari (Consultation Fees) inavutia Daktari kwenda kufanya kazi katika Hospitali fulani katika eneo fulani?

    Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa. Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
  7. JamiiForums Tanzania Viwango vya hisia na mihemko katika kila ngazi za mahusiano ya kimapenzi

    ELEWA VIPINDI NA HALI YA MIHEMUKO KATIKA NGAZI ZA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Katika kahusiano kuna mihemko inatofautian kati ya jinsia na nyakati za kimahusiano, andiko langu la leo linawahusia wapenzi kufikia katika mihemko ya kufanana ili mapenzi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

    Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma

    Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea Kituo cha Afya Tunduma kwa lengo la kukagua mazingira ya utoaji huduma na kuwajulia hali wanawake waliojifungua pamoja na watoto wachanga waliozaliwa Katika...
  10. JamiiForums Tanzania Surat Maryam ndio Sura pekee katika Qur'an iliyopewa jina la Mwanamke, zijue sababu

    Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii. Kisa cha Bi Maryam katika...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume yanayoweza kukuletea majuto na mateso katika mahusiano/ndoa

    MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA Na Comrade Ally Maftah Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto. 1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
  12. X

    JamiiForums Tanzania China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

    Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo katika soka haipo

    Katika jambo linalowasumbua watanzania wengi kati ya mengi yaliyopo, soka letu linaendelea kututia Shaka kila kukicha, sis kama wadau WA mchezo huu pendwa na wenye chachu ya kuona mafanikio kwenye soka la taifa letu. Kwa wengi tunafatilia klabu zetu pendwa za Simba, Yanga, Azam na nyinginezo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya kuzingatia katika malezi ya mtoto

    YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA . 1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put GOD first) Haijalishi kwa Imani gani atayokua nayo lakini Jambo muhimu kumtanguliza Mungu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu haamini katika taasisi, hata CHADEMA haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake

    Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
  17. JamiiForums Tanzania Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  18. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

    Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…