katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  2. JamiiForums Tanzania Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

    1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
  3. JamiiForums Tanzania Bashungwa akemea tabia ya viongozi katika kata kuchonganishana

    BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu Wilayani Karagwe kuvutana na kuchonganishana na kupelekea kuchelewesha utoaji wa huduma kwa wananchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  6. JamiiForums Tanzania Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  7. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  8. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HELSB) imekosa Tija na mantiki katika Ufanisi, changamoto kubwa ni mfumo wa kamati za Teuzi

    Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua? This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma. Wakopaji wana NIDA, identifications , Ujazaji wa form...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi ya Qatar kusaini(Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika Utalii

    TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

    Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano. 1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
  12. JamiiForums Tanzania Kilogram ngapi za maji zipo katika mwili wako

    39.2kg ni uzito wa maji katika mwili wa mtu ambaye uzito wa mwili wake ni 56 kg. Ndo sababu ya kusema 70% ya mwili wako ni maji.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usawa katika elimu uzingatiwe

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga dhana ya kumbagua mtoto wa kiume na kumkweza mtoto wa kiume akitangatanga bila ya msaaada wowote ule...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwekwe sera itakayo saidia uwepo wa mshauri wa saikolojia Katika idara za utumishi kwenye taasisi zote za umma na sekta binafsi

    Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Ambulance zinazotumia nishati ya umeme katika kupunguza gharama na kuboresha huduma

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na kupelekea matokeo mabaya hata vifo wakati mwingine. Hivyo basi kutokana na ukuaji wa teknolojia dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…