katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Soma kwa Umakini: Katika jezi mpya, ni ama Simba imepatia sana au imekosea sana

    Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii. Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno. Simba imepatia sana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

    Wanakumbi. Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress: "Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki...
  4. JamiiForums Tanzania Msafara wa Zimbabwe kwenda Paris katika Olympics wazua gumzo

    Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.
  5. JamiiForums Tanzania Usahihi ni upi katika vyeo vifuatavyo vya kisiasa

    Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi? Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa? Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Moyo Wangu Ulivunjika: Safari ya Juma na Amina Katika Mapenzi na Maumivu

    Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii kwa marafiki zake na walimu wake. Kipaji chake kilikuwa cha kipekee, na kila mtu alimpongeza kwa sauti...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port Golber ametangaza kuwa kazi katika bandari ya Eilat imesimama kabisa

    Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini." https://x.com/suppressednws/status/1815004127891423470?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  8. JamiiForums Tanzania Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

    Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha?? Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

    CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya . Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
  11. JamiiForums Tanzania Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  12. JamiiForums Tanzania Klabu ya Dolodoma Jiji imetangaza Peter Manyika Sr Kuwa kocha wa makipa

    Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo. Chanzo: ligikuu.com Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki yako wa Kitambo Kipa wa zamani Peter Manyika aje kuwa nawe hapo. Na hata Kocha Mkuu wa Ihefu Aussems...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Indonesia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Madini

    TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI - Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini - Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa. - Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo la Ilemela 2025 linakwenda na Qwihaya, Angelina Mabula aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata zote

    CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

    Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno...
  17. JamiiForums Tanzania Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  18. JamiiForums Tanzania Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

    Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake.. Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

    Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu...
  20. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…