katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moto wazuka katika kinu cha Nuclear cha Ukraine

    Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi. Urusi ina historia mbaya zaidi ya ajali ya nuclear duniani iliyotokea Chernobyl mwaka 1986,
  2. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki. Soma...
  4. JamiiForums Tanzania Mch Msigwa hakuwa kubeba Bible katika maisha yake yote ya Uchungaji.

    Heshima ssna wanajamvi. Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul. Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni. Mheshimiwa Abdul...
  5. JamiiForums Tanzania Translater ipi unatumia katika kiganja chako free katika kuvinjari... Online

    Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu... Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
  6. JamiiForums Tanzania Ushiriki wa tanzania 🇹🇿 katika olympic 2024

    Naomba update ya anayefuatilia mchezo wowote wa Olympic kama ataona sura au jezi ya Tanzania 🇹🇿 ajulishe ili tufyatilie kwa pamoja
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya sukari kilombero yawataka wakulima kuchangamkia fursa ya upanuzi wa kiwanda cha k4 katika tamasha la nane nane

    Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

    Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    ◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
  12. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara tanzania (TCB) yaendelea kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa ushirikiano katika miradi ya miundombinu

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yatumia vipimo tofauti katika suala la dawa za kusisimua misuli

    Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume uliofanyika hivi majuzi, na kusaidia timu ya Marekani kuingia nusu fainali kwa nafasi ya kwanza. Hata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu katika Vita

    Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu Khalid bin Walid, anayejulikana pia kama "Saifullah" (Upanga wa Allah), alikuwa mmoja wa makamanda maarufu wa kijeshi katika historia ya Uislamu. Alikuwa na mchango mkubwa katika upanuzi wa Dola la Kiislamu wakati wa maisha ya Mtume Muhammad (SAW)...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Picha ya Marais Biden au Putin au Kagame au Waziri Mkuu wa Uingereza wakijipiga 'Selfies' katika Shughuli za Kikazi aniwekee hapa

    Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate...
  17. JamiiForums Tanzania Katika context ya Tanzania kiwanda ni nini?

    Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini?
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri vs. Ubashiri: Tofauti na Umuhimu katika Michezo ya Mpira wa Miguu

    Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu. 1. Utabiri: - Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond Platnumz imeingia katika chati za Billboard; kweli Mtandale noma

    #KOMASAVA ON THE USA BILLBOARDS CHARTS 🇺🇸🤝 #komasava Unakuwa Wimbo Wa Kwanza Kutoka Tanzania Kuingia Kwenye Charts Za Billboards Marekani (Billboards U.s Afrobeats Songs Top 50) Na Kushika Nafasi Ya #39 Ikiwa Ni Ingizo Jipya 🤝🗺 #KOMASAVA TO THE WORLD 🌎
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…