kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Apartment for sale at Kariakoo Livingston street

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: It's old building approx.10 yrs. 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly...
  2. Kariakoo kuanzishwe mpango wa kupanda miti mingi ni kama upo kwenye oven

    Kariakoo nyumba za zamani zinabomolewa na kujengwa magorofa mapya ni jambo nzuri Ukiangalia kariakoo swala la mipango miji halizingatiwi kabisa hasa kipindi hiki inajengwa sana ingekutakiwa sisi kama Tanzania tuonyeshe dunia uzuri wa architect yetu hasa mtu akija kariakoo Kariakoo kungetakiwa...
  3. Commercial building for sale at Kariakoo

    Commercial building for sale in Kariakoo. Location: Somali and Lindi Streets. Details: -The building comprises a warehouse and shops. -It has 5 floors. -The ground and first floors are shops. -The second, third, and fourth floors are warehouses. -The fifth floor contains offices and a...
  4. D

    Vipi Maduka Yamefungwa Kariakoo?!!!!

    Nilitukanwa na wanaojiita Wana akili nlipopinga hili swala. Nauliza, je, maduka Yamefungwa kama tulivyoambiwa jana?!!!!🤣🤣🤣🤣
  5. Godown for rent at Kariakoo

    Godown for rent at Kariakoo. Available in 5th floor. Lift service under construction. Location: Somali and Omari Londo st. Size: 140sqm. Rental price: Tsh 3.5M, negotiable. Contact us to schedule a viewing. A small viewing fee applies. 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807. @prathrealestate
  6. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  7. B

    Anayejua Chimbo la pipi Kariakoo atujuze

    Anayejua Chimbo la pipi na kufuli kariakoo tujuzane
  8. M

    Ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa Tsh bilioni 1 inaweza kuleta faida ya Tsh milioni 100 kwa mwezi

    Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya milioni 100 kwa mwezi
  9. Bei za simu Tanzania 2026 | iPhone, Samsung, Google Pixel na Simu nyingine – Kariakoo

    Habari zenu wakuu, wana-JamiiForums! Nauza simu za aina mbalimbali kama iPhone, Samsung, Google Pixel, Sony Xperia, Sharp Aquos na nyingine nyingi. Used na Box Kama unatafuta simu nzuri kwa bei inayoendana na bajeti yako, karibu tuwasiliane. Nina simu za bei tofauti, hivyo unaweza kuniambia...
  10. Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

    Hamjambo! Jua ni Kali sana hapa! Kupigana vikumbo ni hali iliyozoeleka maeneo haya. Kelele za watu na magari kama kawaida. Hakuna anayeshtushwa na hayo. Imezoeleka hivyo. Lakini kuna jambo moja sio la kawaida macho yangu yanaliona. Na naamini sio mimi pekee bali wengi wanaona hali hii. Maeneo...
  11. Godauni linapangishwa Kariakoo

    Godauni la kupangisha Kariakoo. Lipo ghorofa ya 5. Huduma ya lifti inaendelea kujengwa. Mahali: Mtaa wa Somali na Omari Londo. Ukubwa: mita za mraba 140. Bei ya kupangisha: Tsh milioni 3.5, mazungumzo yapo. Kwa maelezo zaidi na kuweza kuiona wasiliana nasi. Mawasiliano: 0784 829565, 0767...
  12. N

    Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  13. Apartment for sale at Kariakoo Tandamti st

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: It's old building approx.10 yrs. 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly...
  14. Commercial building for sale at Kariakoo

    Commercial building for sale in Kariakoo. Location: Somali and Lindi Streets. Details: -The building comprises a warehouse and shops. -It has 5 floors. -The ground and first floors are shops. -The second, third, and fourth floors are warehouses. -The fifth floor contains offices and a...
  15. Achana na kukimbiza Mama lishe,Mama mboga, hela zipo Kariakoo!

    Ukienda kununua vitu Kariakoo, Wachina hawataki malipo kwa simu au benk wanataka cash,baadhi ya wafanyabiashara hawatoi risiti,Mhindi anauza hela millions hatumii benki anatumia miamala ya kawaida ya simu! Acheni kufuatilia Wafanyabiashara wa kujikimu, real culprits with impact in economy wapo...
  16. Je, ni kweli kwamba Kariakoo kuna watu wanaweza kukuibia hela kichawi, zikiwa ndani ya wallet yako, bila kuchana begi wala kukupora?

    Nimeibiwa 200,000/ hela ya Marekani imebaki, hela ya Kenya imebaki. Nilikuwa naenda kununua gauni la kuvaa harusini jumamosi. Vitambulisho vimebaki. Hiyo pesa nilitoa kwenye ATM ya hapo CRDB Uhuru street, nikaidumbukiza moja kwa moja kwenye wallet, kisha nikaiweka ndani ya pochi. Nilipofika...
  17. I

    Responded DC Mpogolo: Nyaya za mawasiliano Kariakoo zimetanda kama buibui

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema ufungaji holela wa nyaya za mawasiliano katika eneo la Kariakoo na baadhi ya maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam unaathiri mandhari ya Jiji, huku ukisababisha changamoto katika upitishaji wa mizigo kwa magari makubwa na ufikishaji wa vifaa vya...
  18. Utabiri wa Kariakoo Derby full time Simba 3-0 Yanga

    Mchezo wa kariakoo dabi unaotarajiwa kupigwa tarehe 10. Watabiri wametabiri simba itashinda kwa magoli 3 yote kipindi cha kwanza. -umiliki wa mpira kipindi cha kwanza SIMBA, kipindi cha pili YANGA pha yanga watapata penati ila watakosa. Kona ataongoza simba kipindi cha kwanza kona 13 Yanga 1...
  19. Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
  20. Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

    Habari za muda huu wadau Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…