kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  2. Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  3. PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  4. Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  5. T

    Poland na Ukraine waungana na Nchi za Afrika Kupingana na Waraka wa Papa kuhusu Kubariki Ushoga Kanisani

    Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka. Nchi hizo za Ulaya...
  6. Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ametoa waraka unaoelezea kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo suala la mahusiano baina ya waumini. Katika waraka huo Kiongozi huyo ameruhusu makasisi wa kanisa hilo kuwapokea na ikibidi kuwabariki wale wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja. Akisisitiza kwamba...
  7. Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  8. Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  9. Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Wasaalam? Ipo hivi juzi asubuhi Jumapili niliingia nyumbani nilikuwa SA kwa mambo ya kikazi, kufika nyumbani nilimkuta binti yangu wa kwanza pamoja na dada wa kazi kumuuliza mama yako yuko wapi? Akasema ameenda kanisani, nikamuuliza mbona hajaenda na watoto(watoto ni mapacha wana miezi 4)...
  10. Wakati wa kuhubiri au kufundisha kanisani zingatia sana yafuatayo

    1. Ujumbe ulionao uwe na kichwa cha Habari. 2. MAANDIKO utakayosoma yaendane na ujumbe, mahubiri au FUNDISHO unalofundisha MADHABAHUNI. 3. " Bwana Yesu Asifiwe ziwe CHACHE. 4. Kama Ulipanga KUFUNDIDHA dondoo, 7... Halafu ukaona mtiririko umekatika ukiwa pointi ya,4... sitisha KUHUBIRI au...
  11. Kwanini vijana wengi waliokuwa wakitumikia sehemu za ibada huharibikiwa wakiwa watu wazima?

    Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii. Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
  12. Wanaume wanaona aibu kwenda kanisani

    Ndio hivyo, ukristo umekuwa wa wanawake. Wanaume wengi kushiriki kwa asilimia kubwa haipo. Fuatilia mahudhurio kwenye shughuli zinazohusisha makanisa zikiwamo Ibada utakubali.
  13. Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

    Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka. Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana. Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
  14. Mkitoka Kanisani, Naomba Mtupe Elimu ya Hizi Alama

    Angalia kwa hao black deacons around the neck hizo alama tatu zina maana gani?.
  15. Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  16. M

    Mch. Kenan Mwasomola umeongea kweli suala la muziki Kanisani

    Nimeona kwenye mitandao jinsi mchungaji kenan mwasomola alivyokuwa amewa kwa hisia kali na hasiri akikosoa uimbaji wa siku hizi makanisani kwamba sio wa roho mtakatifu. Amekosoa jinsi makanisa kutumia mitindo ya nyimbo na muziki wa kidunia kama vile Rap/R&B, Jazz, Reggae, Singeli nk na kuimba...
  17. Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

    Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba? Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
  18. Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  19. Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilika watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa la PENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo Kibaha kwa ulaghai wa kutaka kupata waumini kwa kusingizia mchawi amedondoka kwenye maombi ya mkesha wake na waumini. Wamewashikilia kwa mahojiano...
  20. Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…