kali

  1. N

    Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  2. Toleo jipya na Kali mno,kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,hii sio yakukosa,zaidi ya Wafugaji 1,000 wa Kuku wanaitumia, wewe unasubiri nini?

    🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi. Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila kuwasaiddia wafugaji wa Kuku💚 Tunawatambulisha Fuga App toleo la 2.0! Toleo jipya lililotengenezwa na...
  3. Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

    1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela
  4. Israeli imetoa onyo kali kwa nchi za ulaya

    Oya Myahudi kachafukwa kinoma. Hataki discussion na mtu yeyote yule. ================= Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri wawili wa Israel, walowezi wanaozua vurugu na viongozi 10 wa kundi la Hamas. Waziri wa usalama wa...
  5. Mabaunsa wapewa onyo kali

    Mabaunsa wamepewa onyo kali kutojihusisha na mapenzi yasiyofaa kwa kuendekeza njaa. Wameaswa kulinda kazi yao ya Ulinzi badala ya mapenzi ya kudhalilisha Utu na kazi yao.
  6. Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  7. Ipi sababu ya ongezeko la vijana kuvamia pombe kali za kienyeji kwa kwa wingi mnoo?

    Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
  8. Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  9. Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

    Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho. Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja...
  10. "Madhara ya pombe Kwa vijana-jiokoe kabla haujachelewa!

    Habari wakuu! Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
  11. Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  12. Kama unahitaji design ya dream house yako fuatilia hii mada

    ave thread maana tutapost design nyingi kali hapa from our design gallery, tunapost daily +255624004650
  13. Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
  14. S

    Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  15. Una ghetto Kali sawa, vipi mazingira ya wazazi wako?

    Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa Hakuna fan Wala asset nzuri za maana. Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na...
  16. Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  17. House4Sale Mwenye Camera Kali aje nimpe dili week end hii

    Kuna mtu anahitaji kupiga picha zaidi ya 60 Jumapili ya kesho kutwa asubuhi na mapema sanaa. Location ni Gongo la mboto. Hakikisha una Camera ya viwango. Njoo inbox niku connect
  18. Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
  19. Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  20. Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…